Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ligi Kuu ya Uingereza, Man Utd na Liverpool zatakata.

Ligi ya kuu ya England iliendelea jana usiku katika viwanja mbali mbali. Leicester inayoburuza mkia katika ligi hiyo ikiwa na pointi 10 katika michezo 14 iliyocheza waliikaribisha Liverpool ambayo iliibuka na u

shindi wa magoli 3-1 katika mechi hiyo. Hadi kumalizikakwa kipindi cha kwanza timu hizo zilikuwa zimefungana goli 1-1.

Kwa matokeo hayo Liverpool imeshika nafasi ya 8 nyuma ya Asernal , zote zikiwa na pointi 20. Hata hivyo Asernal imecheza mchezo mmoja pungufu ya Liverpool yenye...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Ligi Kuu Uingereza, Man Utd yaipiga Crystal Palace 2-1.

Marouane Fellaini alifunga bao la ushindi katika kipindi cha pili cha mechi dhidi ya Crystal Palace na kuipatia Manchester United ushindi wa kufuzu katika kombe la vilabu bingwa Ulaya.

Ashley Young ndiye aliyesaidia pakubwa katika mabao yote mawili baada ya kumnawisha mpira beki wa Crystal Palace na kupata penalti iliofungwa na Juan Mata na baadaye kutoa pasi nzuri iliotiwa kimywani na Fellaini kunako dakika ya 77.

katika matokeo mengine

Everton 0 – 2 Sunderland

Aston Villa 1 – 0 West...

 

10 years ago

GPL

MAN UTD YATINGA TATU BORA LIGI KUU ENGLAND

Mshambuliaji wa Manchester United, Van Persie akifunga bao la kwanza dakika ya 12 kipindi cha kwanza dhidi ya Southampton kwenye Uwanja wa St. Marys usiku wa kuamkia leo. Van Persie akiongea na mashabiki baada ya kufunga bao.…

 

10 years ago

Vijimambo

LIGI KUU UINGEREZA, STEVEN GERALD ACHANGIA USHINDI WA LIVERPOOL KUIFUNGA QPR 2-1

Nahodha wa Liverpool, Steven Gerald amefunga bao kunako dakika za majeruhi na kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Qeens Park Rangers ( QPR ) katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliochezwa leo.Wakicheza nyumbani, Liverpool ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao la kuongoza lililofungwa na Philippe Coutinho katika dakika ya 19, bao ambalo lilidumu hadi kipindi cha kwanza kinamalizika. Kipindi cha pili wageni QPR walisawazisha bao hilo katika dakika ya 73 mfungaji...

 

5 years ago

Michuzi

LIGI KUU UINGEREZA KUENDELEA TENA JUNI 17, MAN CITY VS ARSENAL

Baada ya Bundesliga kuanza kutimua vumbi, Pazia la ligi Kuu nchini Uingereza linatarajia kufunguliwa Juni 17 mwaka huu kwa mechi mbili kuchezwa.

Mechi hizo zikiwa ni viporo zitawakutanisha mabingwa watetezi Manchester City dhidi ya Arsenal na Aston Villa dhidi ya Sheffield United huku ratiba kamili ikianzia wikiendi ya Juni 19-21.

Bado kuna jumla ya mechi 92 ambazo zinahitaji kuchezwa na vilabu vyote 20 baada ya Ligi hiyo kusiimamishwa kwa muda usiojulikana Machi 13 kutokana na mlipuko wa...

 

5 years ago

Mirror Online

Man Utd and Liverpool among clubs in 'bid to stop Man City playing in Champions League'

Man Utd and Liverpool among clubs in 'bid to stop Man City playing in Champions League'  Mirror OnlineChampions League and Europa League finals postponed due to coronavirus pandemic  Goal.comConfirmed: UEFA make big decision on Champions League, Europa League finals  CaughtOffsideManchester United favourites to win postponed Europa League final  The Peoples PersonRivals such as Liverpool, Man Utd and Arsenal launch bid to stop Man City playing in Europe  Daily MailView Full coverage on...

 

10 years ago

Mwananchi

Liverpool hoi, Man City v Utd

Newcastle United imeendeleza rekodi nzuri dhidi ya vigogo wa soka kwenye Ligi Kuu England baada ya kuilaza Liverpool kwa bao 1-0 jana.

 

10 years ago

GPL

HALF TIME: MAN UTD 2 - 0 LIVERPOOL

Wayne Rooney akiifungia Manchester United bao la kwanza. Kwa sasa mpira ni mapumziko Manchester United wakiwa vifua mbele kwa mabao 2-0. Wafungaji Wayne Rooney na Juan Mata. Vikosi:  Man U: De Gea, Valencia, Jones, Evans, Young, Carrick, Fellaini, Mata, Rooney, Van Persie, Wilson. Liverpool: Jones, Skrtel, Lovren, Johnson, Moreno, Henderson, Allen, Gerrard, Coutinho, Lallana, Sterling. ...

 

11 years ago

Mwananchi

Liverpool yainyuka Man Utd Old Trafford

Steven Gerrard alifunga penalti mbili na kuiongoza Liverpool kuichapa Manchester United 3-0 kwenye Uwanja wa Old Trafford.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani