HALF TIME: MAN UTD 2 - 0 LIVERPOOL
Wayne Rooney akiifungia Manchester United bao la kwanza. Kwa sasa mpira ni mapumziko Manchester United wakiwa vifua mbele kwa mabao 2-0. Wafungaji Wayne Rooney na Juan Mata. Vikosi:Â Man U: De Gea, Valencia, Jones, Evans, Young, Carrick, Fellaini, Mata, Rooney, Van Persie, Wilson. Liverpool: Jones, Skrtel, Lovren, Johnson, Moreno, Henderson, Allen, Gerrard, Coutinho, Lallana, Sterling. ...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Mirror Online25 Mar
Man Utd and Liverpool among clubs in 'bid to stop Man City playing in Champions League'
11 years ago
Mwananchi17 Mar
Liverpool yainyuka Man Utd Old Trafford
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Liverpool hoi, Man City v Utd
9 years ago
BBCSwahili26 Dec
Liverpool wazima Leicester, Man Utd walala
10 years ago
StarTV03 Dec
Ligi Kuu ya Uingereza, Man Utd na Liverpool zatakata.
Ligi ya kuu ya England iliendelea jana usiku katika viwanja mbali mbali. Leicester inayoburuza mkia katika ligi hiyo ikiwa na pointi 10 katika michezo 14 iliyocheza waliikaribisha Liverpool ambayo iliibuka na u
shindi wa magoli 3-1 katika mechi hiyo. Hadi kumalizikakwa kipindi cha kwanza timu hizo zilikuwa zimefungana goli 1-1.
Kwa matokeo hayo Liverpool imeshika nafasi ya 8 nyuma ya Asernal , zote zikiwa na pointi 20. Hata hivyo Asernal imecheza mchezo mmoja pungufu ya Liverpool yenye...
5 years ago
Mirror Online02 Apr
10 Man Utd vs Liverpool transfer battles - and who ended up with the better deal
5 years ago
Mirror Online11 Apr
Paul Scholes claims Man Utd are four signings away from challenging Liverpool
5 years ago
Goal.Com20 Feb
'Man Utd cannot keep changing managers' - Solskjaer needs time, insists Van Persie
5 years ago
Mirror Online03 Apr
Liverpool's throw-in coach suggests he could join Man Utd or Tottenham next season