WEMA, KAJALA BIFU UPYA!
![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm*eqn**7F7IRqwr7vHFTWAk-z7nyyz9P9t6uEXQS24shtR1DRNrcd9ZoUFkDSDG5wDdBg00WsTHrnQBc3kkSjPq/wema.jpg)
Stori:Â Shakoor Jongo na Musa Mateja ZIKIWA zimepita wiki kadhaa tangu kuripotiwa kupatanishwa kwa mastaa wawili katika tasnia ya filamu Bongo, Wema Sepetu na Kajala Masanja, taarifa zisizo na shaka zilizotua kwenye meza ya Ijumaa Wikienda zinaeleza kwamba upatanisho huo haukusaidia chochote na sasa bifu jipya limeibuka kati yao. Wema Sepetu akipozi pembeni ya ndinga yake. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha ndani kilichoomba...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies05 Mar
Bifu la Wema na Kajala Laibuka Upya!
Bifu la kati ya waigizaji marafiki wa zamani Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja ‘Kay’ inadaiwa kuwa limeibuka tena upya mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya Madam kuanika ubaya aliotendewa na Kajala aliyewahi kumlipia faini ya shilingi milioni 13 na kumuepusha na kifungo cha miaka 7 jela, Machi 25, 2013, kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa na kituo cha televisheni cha EATV.
Wafuasi na mashabiki wa Kajala hawakufurahishwa na maneno ya Wema ambayo walidai yalikuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3YX5i7K88AzPPilGI70MCiFjAgg8CN9ydbEsj9HxFLPqZPyZ-JQKEzlI7foPgoO9kYzQNl14Ha5SiDsrJTuOBWo78AttAlvQ/BACKRISASI.gif?width=650)
WEMA, AUNT BIFU UPYA!
10 years ago
GPLAUNT ANENA MAZITO BIFU LA KAJALA, WEMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdOGWIk99rz1KHZEVFmQrtGzESqASomuUaMLrfr7XDU2lE5KbQqSWoDHsxYbpUzKXLZ0m1XyKh0zN0BwjWLW4BDM/kajala.jpg?width=650)
KAJALA AWEKA KANDO BIFU LAKE NA WEMA
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Aunt Ezekiel Aongea Mazito Bifu la Kajala, Wema
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa anatamani aone mastaa wawili ambao wana bifu kali, Wema Sepetu na Kajala Masanja wanamaliza tofauti zao kwani maisha ni mafupi.
Akizungumza na gazeti na gazeti la Ijumaa Wikienda, Aunt alisema kati ya mabifu ambayo angependa yaishe ni la Wema na Kajala kwani wapo wasanii wamefariki dunia wakiwa na bifu huku wale waliobaki ambao walikuwa na mabifu nao wakitamani waamke walau mara moja wamalize tofauti zao lakini haikuwezekana.
“Jamani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJD*oNmDWICP6rsjfxdjThp7t6nOVaAa5oGFBQEqGMk-SMisDEzseEPVB2sOVLWZ-LSRUw*Zu-iYER6LKqjNWPCF/SNURA.jpg?width=650)
SNURA MUSHI AINGILIA KATI BIFU LA WEMA, KAJALA
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Ombi la Mashabiki Kwa Kadinda, Kuhusu Bifu la Wema na Kajala
Mashabiki na wadau mabalimbali wamemuomba Martin Kadinda amabe ni meneja wa Staa Wema Sepetu, asaidia kuwapatatisha wema na Kajala ili warudi kuwa karibu kama zamani.
Mashabiki na wadau wengi walimwaga komenti za kumuomba Kadinda asaidie kumaliza tofauti kati ya mastaa hao kwenye ukurasa wa Kajala mara baada ya kajala kubandika picha akiwa na Kadinda na kuonekana wanafuraha.
“ Kweli martin jaribu kuwaweka sawa i know wema ni mtu mwenye moyo wa huruma sana atamsamehe tu mshawishi” mmoja...
10 years ago
Bongo Movies04 Sep
Wema sepetu azungumzia ishu ya kuajiriwa na kajala. Mpenzi wake kutoka na mtu mwingine na bifu zake.
Mitandao na magazeti siku chache zilizopita ilitoka stori ambayo ilidai Kajala anaelekea kumuajiri Wema Sepetu,leo Wema kapatikana na kakubali kuongelea isue hizo zote ikiwemo hiyo ya Kajala.
Kupitia You heard ya XXL ya Clouds Fm Soudy Brown alianza kwa kutaka kufahamu kama kweli Kajala anaweza kumuajiri yeye [Wema]. Wema Sepetu akamjibu>>’Inawezekana,kila kitu kinawezekana Soudy’
Kuhusu mshahara ambao anataka kulipwa na Kajala,Wema Sepetu amejibu>>’Kwa Kajala mi sihitaji mshahara hata...