SNURA MUSHI AINGILIA KATI BIFU LA WEMA, KAJALA
Na Chande Abdallah na Mayasa Mariwata MSANII wa filamu na muziki, Snura Mushi ameingilia kati ugomvi wa wasanii wenzake, Wema Sepetu na Kajala Masanja na kuwaagiza wamalize tofauti zao. Msanii wa filamu na muziki, Snura Mushi a.k.a mama majanga. Wasanii hao ambao wameingia kwenye bifu la kufa mtu kufikia hatua ya kuanikana kwenye vyombo vya habari huku chanzo kikubwa kikitajwa ni shilingi milioni 13 ambazo Wema alimlipia...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL31 Mar
GLOBAL TV ONLINE: MTU KATI NA SNURA MUSHI - PART I
11 years ago
GPLGLOBAL TV ONLINE: MTU KATI NA SNURA MUSHI 'MAMAA MAJANGA' - PART II
11 years ago
GPLWEMA, KAJALA BIFU UPYA!
10 years ago
Bongo Movies05 Mar
Bifu la Wema na Kajala Laibuka Upya!
Bifu la kati ya waigizaji marafiki wa zamani Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja ‘Kay’ inadaiwa kuwa limeibuka tena upya mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya Madam kuanika ubaya aliotendewa na Kajala aliyewahi kumlipia faini ya shilingi milioni 13 na kumuepusha na kifungo cha miaka 7 jela, Machi 25, 2013, kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa na kituo cha televisheni cha EATV.
Wafuasi na mashabiki wa Kajala hawakufurahishwa na maneno ya Wema ambayo walidai yalikuwa...
10 years ago
GPLKAJALA AWEKA KANDO BIFU LAKE NA WEMA
10 years ago
GPLAUNT ANENA MAZITO BIFU LA KAJALA, WEMA
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Aunt Ezekiel Aongea Mazito Bifu la Kajala, Wema
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa anatamani aone mastaa wawili ambao wana bifu kali, Wema Sepetu na Kajala Masanja wanamaliza tofauti zao kwani maisha ni mafupi.
Akizungumza na gazeti na gazeti la Ijumaa Wikienda, Aunt alisema kati ya mabifu ambayo angependa yaishe ni la Wema na Kajala kwani wapo wasanii wamefariki dunia wakiwa na bifu huku wale waliobaki ambao walikuwa na mabifu nao wakitamani waamke walau mara moja wamalize tofauti zao lakini haikuwezekana.
“Jamani...
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Ombi la Mashabiki Kwa Kadinda, Kuhusu Bifu la Wema na Kajala
Mashabiki na wadau mabalimbali wamemuomba Martin Kadinda amabe ni meneja wa Staa Wema Sepetu, asaidia kuwapatatisha wema na Kajala ili warudi kuwa karibu kama zamani.
Mashabiki na wadau wengi walimwaga komenti za kumuomba Kadinda asaidie kumaliza tofauti kati ya mastaa hao kwenye ukurasa wa Kajala mara baada ya kajala kubandika picha akiwa na Kadinda na kuonekana wanafuraha.
“ Kweli martin jaribu kuwaweka sawa i know wema ni mtu mwenye moyo wa huruma sana atamsamehe tu mshawishi” mmoja...