AUNT ANENA MAZITO BIFU LA KAJALA, WEMA
Staa anayefanya vizuri kwenye tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Gladness Mallya STAA anayefanya vizuri kwenye tasnia ya filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa anatamani aone mastaa wawili ambao wana bifu kali, Wema Sepetu na Kajala Masanja wanamaliza tofauti zao kwani maisha ni mafupi. Wema na Kajala enzi wakiwa bado mashosti. Akizungumza na gazeti hili, Aunt alisema kati ya mabifu ambayo angependa yaishe ni la Wema...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Aunt Ezekiel Aongea Mazito Bifu la Kajala, Wema
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa anatamani aone mastaa wawili ambao wana bifu kali, Wema Sepetu na Kajala Masanja wanamaliza tofauti zao kwani maisha ni mafupi.
Akizungumza na gazeti na gazeti la Ijumaa Wikienda, Aunt alisema kati ya mabifu ambayo angependa yaishe ni la Wema na Kajala kwani wapo wasanii wamefariki dunia wakiwa na bifu huku wale waliobaki ambao walikuwa na mabifu nao wakitamani waamke walau mara moja wamalize tofauti zao lakini haikuwezekana.
“Jamani...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3YX5i7K88AzPPilGI70MCiFjAgg8CN9ydbEsj9HxFLPqZPyZ-JQKEzlI7foPgoO9kYzQNl14Ha5SiDsrJTuOBWo78AttAlvQ/BACKRISASI.gif?width=650)
WEMA, AUNT BIFU UPYA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm*eqn**7F7IRqwr7vHFTWAk-z7nyyz9P9t6uEXQS24shtR1DRNrcd9ZoUFkDSDG5wDdBg00WsTHrnQBc3kkSjPq/wema.jpg)
WEMA, KAJALA BIFU UPYA!
10 years ago
Bongo Movies05 Mar
Bifu la Wema na Kajala Laibuka Upya!
Bifu la kati ya waigizaji marafiki wa zamani Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ na Kajala Masanja ‘Kay’ inadaiwa kuwa limeibuka tena upya mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya Madam kuanika ubaya aliotendewa na Kajala aliyewahi kumlipia faini ya shilingi milioni 13 na kumuepusha na kifungo cha miaka 7 jela, Machi 25, 2013, kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa na kituo cha televisheni cha EATV.
Wafuasi na mashabiki wa Kajala hawakufurahishwa na maneno ya Wema ambayo walidai yalikuwa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-tRXgGHTUdOGWIk99rz1KHZEVFmQrtGzESqASomuUaMLrfr7XDU2lE5KbQqSWoDHsxYbpUzKXLZ0m1XyKh0zN0BwjWLW4BDM/kajala.jpg?width=650)
KAJALA AWEKA KANDO BIFU LAKE NA WEMA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJD*oNmDWICP6rsjfxdjThp7t6nOVaAa5oGFBQEqGMk-SMisDEzseEPVB2sOVLWZ-LSRUw*Zu-iYER6LKqjNWPCF/SNURA.jpg?width=650)
SNURA MUSHI AINGILIA KATI BIFU LA WEMA, KAJALA
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Ombi la Mashabiki Kwa Kadinda, Kuhusu Bifu la Wema na Kajala
Mashabiki na wadau mabalimbali wamemuomba Martin Kadinda amabe ni meneja wa Staa Wema Sepetu, asaidia kuwapatatisha wema na Kajala ili warudi kuwa karibu kama zamani.
Mashabiki na wadau wengi walimwaga komenti za kumuomba Kadinda asaidie kumaliza tofauti kati ya mastaa hao kwenye ukurasa wa Kajala mara baada ya kajala kubandika picha akiwa na Kadinda na kuonekana wanafuraha.
“ Kweli martin jaribu kuwaweka sawa i know wema ni mtu mwenye moyo wa huruma sana atamsamehe tu mshawishi” mmoja...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcLaYvvE-ZZ8vfU5Ru8xJmnoVzeNT-59DH-NKlkIlm9baxAbGQuro3uLWiATlqAqFp*yBBFS*dhpbjJRtc5IXe6f/aibu.jpg?width=650)
WEMA, AUNT, KAJALA: AIBU YAO!