WEMA, AUNT, KAJALA: AIBU YAO!
![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcLaYvvE-ZZ8vfU5Ru8xJmnoVzeNT-59DH-NKlkIlm9baxAbGQuro3uLWiATlqAqFp*yBBFS*dhpbjJRtc5IXe6f/aibu.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema, Arusha Jambo limezua jambo! Mastaa ‘hot’ Bongo wanaotingisha kwenye tasnia ya sinema, Kajala Masanja, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepata aibu baada ya kugandwa na skendo ya kwenda kujiuza jijini Arusha. Mastaa wa filamu kutoka kushoto ni Wema Sepetu, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja. Skendo hiyo ilikuja baada ya mastaa hao kutimba jijini humo ikiwa ni ziara ya kwenda kumtambulisha msanii wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcJ8-upBMsLsMFGYDW5go9uXqjKhqLKKfBu8mtr-1-D3AFYz737rpZ8y8WxFqW7wkzkTdS4fyvh1CBymHeahjwTi/mashindano.jpg?width=650)
WEMA, AUNT, KAJALA WAFANYA MASHINDANO
10 years ago
GPLAUNT ANENA MAZITO BIFU LA KAJALA, WEMA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/D*jRkBJZGXXIi7MchC6OSWKvtHSy077-8mMKsX01rZk6gotjJqLdWUoOx731KFIVO0eChKvOCN2a8jkuTNS4PJwaEn6lKAlz/Kajala.jpg)
AUNT, KAJALA WAMSENG’ENYA WEMA
11 years ago
GPLWEMA, KAJALA, AUNT WAFUNIKA TRIPLE A JIJINI ARUSHA
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Aunt Ezekiel Aongea Mazito Bifu la Kajala, Wema
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa anatamani aone mastaa wawili ambao wana bifu kali, Wema Sepetu na Kajala Masanja wanamaliza tofauti zao kwani maisha ni mafupi.
Akizungumza na gazeti na gazeti la Ijumaa Wikienda, Aunt alisema kati ya mabifu ambayo angependa yaishe ni la Wema na Kajala kwani wapo wasanii wamefariki dunia wakiwa na bifu huku wale waliobaki ambao walikuwa na mabifu nao wakitamani waamke walau mara moja wamalize tofauti zao lakini haikuwezekana.
“Jamani...
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...
10 years ago
Mwananchi18 Oct
Aibu yetu, aibu yao...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)