AUNT, KAJALA WAMSENG’ENYA WEMA
![](http://api.ning.com:80/files/D*jRkBJZGXXIi7MchC6OSWKvtHSy077-8mMKsX01rZk6gotjJqLdWUoOx731KFIVO0eChKvOCN2a8jkuTNS4PJwaEn6lKAlz/Kajala.jpg)
Waandishi wetu MASTAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja, juzikati walikutana na kutumia muda wa takriban nusu saa (dakika 30) kumsengenya aliyekuwa shosti wao, Wema Sepetu. Mastaa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja. Tukio hilo lilijiri hivi karibuni kwenye Bustani za Ndoto Polepole zilizopo Bagamoyo, ambapo mastaa kibao walihudhuria sherehe ya Baby Shower ya Aunt, iliyokuwa imesheheni vituko...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcLaYvvE-ZZ8vfU5Ru8xJmnoVzeNT-59DH-NKlkIlm9baxAbGQuro3uLWiATlqAqFp*yBBFS*dhpbjJRtc5IXe6f/aibu.jpg?width=650)
WEMA, AUNT, KAJALA: AIBU YAO!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcJ8-upBMsLsMFGYDW5go9uXqjKhqLKKfBu8mtr-1-D3AFYz737rpZ8y8WxFqW7wkzkTdS4fyvh1CBymHeahjwTi/mashindano.jpg?width=650)
WEMA, AUNT, KAJALA WAFANYA MASHINDANO
10 years ago
GPLAUNT ANENA MAZITO BIFU LA KAJALA, WEMA
11 years ago
GPLWEMA, KAJALA, AUNT WAFUNIKA TRIPLE A JIJINI ARUSHA
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Aunt Ezekiel Aongea Mazito Bifu la Kajala, Wema
Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa anatamani aone mastaa wawili ambao wana bifu kali, Wema Sepetu na Kajala Masanja wanamaliza tofauti zao kwani maisha ni mafupi.
Akizungumza na gazeti na gazeti la Ijumaa Wikienda, Aunt alisema kati ya mabifu ambayo angependa yaishe ni la Wema na Kajala kwani wapo wasanii wamefariki dunia wakiwa na bifu huku wale waliobaki ambao walikuwa na mabifu nao wakitamani waamke walau mara moja wamalize tofauti zao lakini haikuwezekana.
“Jamani...
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...