Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...

Azam imezidi kunyemelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kuichapa Simba 2-1, huku mabingwa watetezi Yanga wakichapwa 2-1 na wachezaji 10 wa Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Aibu yetu, aibu yao...

Tambo, ngebe zilizotawala vinywa vya mashabiki, viongozi wa Yanga na, Simba zinafikia mwisho leo kwa pambano linalozikutanisha timu hizo mbili.

 

11 years ago

Mwananchi

Hall: Simba, Yanga aibu

Kocha wa zamani wa Azam FC, Stewart Hall amewaponda viongozi wa klabu za Simba na Yanga kwa kusema ndio wanaoziharibu timu hizo kisha kuwatwisha mzigo makocha wao.

 

10 years ago

Vijimambo

AIBU ILIYOJE, YANGA, SIMBA KUTEKELEZA VIWANJA


Mafundi wakiendelea na ujenzi wa uwanja wa Simba uliopo eneo la Bunju jijini Dar es Salaam. Picha na Maktaba 
Viwanja vingi vya wazi ambavyo vilitengwa kwa shughuli za michezo vimevamiwa na kufanyika ujenzi wa matumizi mengine kinyume na mipango ya awali.
UKOSEFU wa viwanja vya michezo ni tatizo ambalo limekuwa likiuandama zaidi mchezo wa soka unaopendwa na wengi.
Viwanja vingi vya wazi ambavyo vilitengwa kwa shughuli za michezo vimevamiwa na kufanyika ujenzi wa matumizi mengine kinyume na...

 

9 years ago

Habarileo

Nadir: Tungefungwa ingekuwa aibu yetu

NAHODHA wa mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amesema kama wasingeifunga Azam FC katika mchezo wa Ngao ya Jamii mwishoni mwa wiki, ingekuwa ni aibu kwao.

 

11 years ago

Mwananchi

Umaskini hohehahe aibu mbele ya macho yetu

  Tushukuru tumemaliza sherehe za Krismasi kwa salama, huku tukimuomba Mwenyezi Mungu atusambazie amani, neema na mafanikio katika maisha yetu mnamo mwaka huu mpya wa 2014.

 

11 years ago

GPL

WEMA, AUNT, KAJALA: AIBU YAO!

Stori: Imelda Mtema, Arusha
Jambo limezua jambo! Mastaa ‘hot’ Bongo wanaotingisha kwenye tasnia ya sinema, Kajala Masanja, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepata aibu baada ya kugandwa na skendo ya kwenda kujiuza jijini Arusha. Mastaa wa filamu kutoka kushoto ni Wema Sepetu, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja. Skendo hiyo ilikuja baada ya mastaa hao kutimba jijini humo ikiwa ni ziara ya kwenda kumtambulisha msanii wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yapaa, Simba aibu

Jahazi la Simba limezidi kwenda mrama baada ya kunyukwa 1-0 na Coastal Union, huku Azam ikijikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu kwa kuichapa Oljoro JKT kwa ushindi kama huo.

 

10 years ago

GPL

SIMULIZI YA AIBU!

Mwandishi Wetu
HII ni simulizi ya aibu! Tukio la mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kibasila jijini  Dar, Gaudensia Albert, mkazi wa Kisiwani Kata ya Sandali wilayani Temeke kuishi na vinyesi, mikojo na matapishi chumbani kwake, limeibua mshtuko na aibu ndani yake. Kinyesi kikiwa kwenye ndoo. Kwa mujibu wa mwenye nyumba, Reuben Shayo, mwalimu huyo anayefundisha masomo ya sayansi aligundulika hivi karibuni kuwa anaishi ndani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aibu bungeni

UFUNDI wa matusi, vijembe na mipasho ndivyo vilivyotawala jana bungeni wakati wajumbe wa Bunge Maalumu wakijadili sura ya kwanza na ya sita ya rasimu ya katiba zinazozungumzia muundo wa Muungano,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani