Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hall: Simba, Yanga aibu

Kocha wa zamani wa Azam FC, Stewart Hall amewaponda viongozi wa klabu za Simba na Yanga kwa kusema ndio wanaoziharibu timu hizo kisha kuwatwisha mzigo makocha wao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...

Azam imezidi kunyemelea ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kuichapa Simba 2-1, huku mabingwa watetezi Yanga wakichapwa 2-1 na wachezaji 10 wa Mgambo Shooting kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

10 years ago

Vijimambo

AIBU ILIYOJE, YANGA, SIMBA KUTEKELEZA VIWANJA


Mafundi wakiendelea na ujenzi wa uwanja wa Simba uliopo eneo la Bunju jijini Dar es Salaam. Picha na Maktaba 
Viwanja vingi vya wazi ambavyo vilitengwa kwa shughuli za michezo vimevamiwa na kufanyika ujenzi wa matumizi mengine kinyume na mipango ya awali.
UKOSEFU wa viwanja vya michezo ni tatizo ambalo limekuwa likiuandama zaidi mchezo wa soka unaopendwa na wengi.
Viwanja vingi vya wazi ambavyo vilitengwa kwa shughuli za michezo vimevamiwa na kufanyika ujenzi wa matumizi mengine kinyume na...

 

9 years ago

Mwananchi

Hall asingizia mashabiki wa Yanga

Kocha wa Azam, Stewart Hall amelia na mashabiki wa Yanga kuwa ni miongoni mwa sababu za timu yake kupoteza mchezo wa Ngao ya Jamii juzi.

 

9 years ago

Mtanzania

Azam yaifungia kazi Simba, Hall kicheko

azam-1NA MWANDISHI WETU

TIMU ya Azam imewafungia kazi wapinzani wao Simba kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) Jumamosi hii baada ya kupanga programu kali kwa wachezaji wake.

Azam FC ilianzia maandalizi yake ya nguvu mkoani Tanga kwa kambi ya siku tano na kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Mgambo JKT na African Sports, zote zikiisha kwa sare ya bao 1-1 kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam jana.

Katika kujiandaa zaidi na mchezo huo muhimu dhidi ya Simba, leo saa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kim anukia Simba, Hall atua Azam

Dar es Salaam. Wakati Simba ikiendelea na mchakato wa kusaka kocha mpya na majina ya makocha saba yakitajwa, kocha wa zamani wa Taifa Stars, Kim Poulsen akipewa nafasi kubwa ya kupewa kibarua hicho, Azam imetangaza kumrejesha Stewart Hall kuwa kocha mpya.

 

9 years ago

Mwananchi

Hall ataka kuiua Yanga mapema

Kocha wa Azam FC, Stewart Hall amewataka wachezaji wake kutafuta ushindi wa mapema katika mechi yao ijayo ya Ngao ya Hisani dhidi ya Yanga itakayochezwa Agosti 22 uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Mwananchi

Azam yapaa, Simba aibu

Jahazi la Simba limezidi kwenda mrama baada ya kunyukwa 1-0 na Coastal Union, huku Azam ikijikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu kwa kuichapa Oljoro JKT kwa ushindi kama huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani