Azam yapaa, Simba aibu
Jahazi la Simba limezidi kwenda mrama baada ya kunyukwa 1-0 na Coastal Union, huku Azam ikijikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu kwa kuichapa Oljoro JKT kwa ushindi kama huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 Mar
Azam yapaa, Yanga yashikwa
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Yanga, Simba aibu yetu, aibu yao...
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Mbeya City yapaa, Simba mdebwedo
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Hall: Simba, Yanga aibu
10 years ago
Vijimambo10 Dec
AIBU ILIYOJE, YANGA, SIMBA KUTEKELEZA VIWANJA
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2549946/highRes/894312/-/maxw/600/-/tem572z/-/simba.jpg)
Viwanja vingi vya wazi ambavyo vilitengwa kwa shughuli za michezo vimevamiwa na kufanyika ujenzi wa matumizi mengine kinyume na mipango ya awali.
UKOSEFU wa viwanja vya michezo ni tatizo ambalo limekuwa likiuandama zaidi mchezo wa soka unaopendwa na wengi.
Viwanja vingi vya wazi ambavyo vilitengwa kwa shughuli za michezo vimevamiwa na kufanyika ujenzi wa matumizi mengine kinyume na...
10 years ago
MichuziSimba yaifunga Azam FC 2-1
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Azam yaitisha Simba
NA ZAINAB IDDY
TIMU ya Azam FC imewatangazia hali ya hatari Simba katika mechi yao ya Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayochezwa Desemba 12 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Azam imetamba kuinyuka Simba katika mchezo huo, ambapo hadi sasa vinara hao wa ligi kuu wamefikisha pointi 25, wapinzani wao hao wakishika nafasi ya nne wakiwa na pointi 21 katika mechi tisa walizocheza kila mmoja.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi, Ofisa Habari wa Azam, Jaffar Idd, alisema maandalizi yao kwa...
10 years ago
Mtanzania26 Jan
Azam yaivuta sharubu Simba
NA WAANDISHI WETU
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam ilivuta sharubu za Simba baada ya kuilazimisha sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa ligi uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
Timu hizo ziliingia uwanjani zikiwa na kumbukumbu ya ushindi kwenye mechi zilizopita, Simba iliichapa Ndanda mabao 2-0, huku Azam ikiichabanga Kagera Sugar mabao 3-1.
Licha ya Simba kupata bao la mapema dakika ya 18 lililofungwa na Emmanuel Okwi, aliyetumia makosa ya kipa wa Azam,...