Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Azam yaitisha Simba

IMG_4080NA ZAINAB IDDY

TIMU ya Azam FC imewatangazia hali ya hatari Simba katika mechi yao ya Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayochezwa Desemba 12 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Azam imetamba kuinyuka Simba katika mchezo huo, ambapo hadi sasa vinara hao wa ligi kuu wamefikisha pointi 25, wapinzani wao hao wakishika nafasi ya nne wakiwa na pointi 21 katika mechi tisa walizocheza kila mmoja.

Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi, Ofisa Habari wa Azam, Jaffar Idd, alisema maandalizi yao kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yaitisha CCM

UCHAGUZI wa kata 27 za udiwani unaofanyika nchini leo unatarajia kutoa mwelekeo wa uimara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama Cha Mapinduzi (CCM). CHADEMA ambacho kimeonekana kukipa...

 

10 years ago

Michuzi

Simba yaifunga Azam FC 2-1

 Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano 'Messi" akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuipatia timu yake bao la pili.
Beki wa Azam FC, Agrey Moris akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.  Raha ya ushindi. 
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga yaitisha mkutano Juni 1

WAKATI Kocha Mkuu wa Yanga, Hans Plujim akiachana na Yanga baada ya kupata ofa katika timu ya Al Shoala ya Saudi Arabia, klabu hiyo imeitisha mkutano maalumu wa marekebisho ya...

 

9 years ago

Habarileo

Azam wafuata makali ya Simba

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Azam FC wanaondoka kesho Jumatano kwenda Tanga kwa ajili ya kusaka makali ya kuiua Simba. Azam inatarajia kucheza na wekundu hao wa Msimbazi Desemba 12, mwaka huu katika mchezo wa ligi utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Azam yaivutia kasi Simba

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam Fc wanatarajiwa kuingia kambini wiki ijayo kujiandaa na michuano ya Ligi Kuu Tanzania katika mchezo dhidi ya Simba utakaochezwa Desemba 12, mwaka huu.

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga, Simba, Azam mawindoni

hans-pluijmNA WAANDISHI WETU

VIGOGO wa soka nchini timu za Simba, Yanga na Azam, leo zinatarajiwa kushuka dimbani katika viwanja tofauti kuchuana vikali katika mechi za mwendelezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), iliyoanza kutimua vumbi Jumamosi iliyopita.

Mabingwa watetezi wa ligi hiyo Yanga, wapo kileleni kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa huku wapinzani wao, Simba na Azam wakifuatia jambo linalofanya ushindani wa mechi za leo kuwa mkubwa kutokana na timu hizo kuwa kwenye vita ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Vita ya Yanga, Azam, Simba

simba,azam,yangaNA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

TIMU za Yanga, Azam na Simba, leo zinaingia kibaruani kwa mara nyingine katika viwanja tofauti katika raundi ya 12 ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga, wao watakuwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kuwakabili Stand United ya Shinyanga.

Yanga, wanaoongoza ligi hiyo wakiwa na pointi 27 baada ya kucheza mechi 11, wanashuka dimbani wakitokea mkoani Tanga, ambako wamecheza mechi mbili baina ya Mgambo Shooting na Africans Sports,...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yapaa, Simba aibu

Jahazi la Simba limezidi kwenda mrama baada ya kunyukwa 1-0 na Coastal Union, huku Azam ikijikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu kwa kuichapa Oljoro JKT kwa ushindi kama huo.

 

10 years ago

TheCitizen

Simba pile pressure on Azam

Simba SC boosted their hopes of finishing second in the Vodacom Premier League yesterday after recording a hard-fought 2-1 victory over 10-man Azam FC at the National Stadium.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani