Azam yaivutia kasi Simba
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam Fc wanatarajiwa kuingia kambini wiki ijayo kujiandaa na michuano ya Ligi Kuu Tanzania katika mchezo dhidi ya Simba utakaochezwa Desemba 12, mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi16 Sep
UHONDO WA LIGI KUU: Simba na kisasi, Yanga, Azam kasi
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Azam yaitisha Simba
NA ZAINAB IDDY
TIMU ya Azam FC imewatangazia hali ya hatari Simba katika mechi yao ya Ligi Kuu Tanzania Bara, itakayochezwa Desemba 12 mwaka huu katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Azam imetamba kuinyuka Simba katika mchezo huo, ambapo hadi sasa vinara hao wa ligi kuu wamefikisha pointi 25, wapinzani wao hao wakishika nafasi ya nne wakiwa na pointi 21 katika mechi tisa walizocheza kila mmoja.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi, Ofisa Habari wa Azam, Jaffar Idd, alisema maandalizi yao kwa...
10 years ago
MichuziSimba yaifunga Azam FC 2-1
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Yanga,Simba,Azam zapeta
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Azam, City zapeta, Simba mh!
9 years ago
Habarileo01 Dec
Azam wafuata makali ya Simba
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Azam FC wanaondoka kesho Jumatano kwenda Tanga kwa ajili ya kusaka makali ya kuiua Simba. Azam inatarajia kucheza na wekundu hao wa Msimbazi Desemba 12, mwaka huu katika mchezo wa ligi utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Vita ya Yanga, Azam, Simba
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
TIMU za Yanga, Azam na Simba, leo zinaingia kibaruani kwa mara nyingine katika viwanja tofauti katika raundi ya 12 ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga, wao watakuwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kuwakabili Stand United ya Shinyanga.
Yanga, wanaoongoza ligi hiyo wakiwa na pointi 27 baada ya kucheza mechi 11, wanashuka dimbani wakitokea mkoani Tanga, ambako wamecheza mechi mbili baina ya Mgambo Shooting na Africans Sports,...
10 years ago
TheCitizen23 Mar
Azam, Simba record victories
10 years ago
Mwananchi26 Apr
Azam, Simba kazi ipo