UHONDO WA LIGI KUU: Simba na kisasi, Yanga, Azam kasi
Ligi Kuu Bara inaendelea leo kwa viwanja saba kuwaka moto, huku bingwa mtetezi, Yanga ikishuka uwanjani kuikabili Prisons, wakati Azam ikiwa ugenini Kambarage, Shinyanga kuumana na Stand United huku Simba ikitaka kuendeleza ubabe Tanga na kulipa kisasi kwa Mgambo JKT kwenye Uwanja wa Mkwakani, Tanga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Simba, Azam zatofautiana na Yanga ratiba ligi Kuu
SIKU moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutangaza ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Uongozi wa Mabingwa wa ligi hiyo, Yanga umeibuka na kuipinga kwa madai kuwa haikuwatendea haki.
Ligi hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 12 kwa michezo saba ya ufunguzi kuchezwa katika viwanja tofauti nchini.
Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tibohora, alisema kuwa wao hawajaridhika na upangaji wa ratiba hiyo, na inaonyesha wazi nia yao ni kutaka wafanye vibaya msimu...
11 years ago
Mwananchi25 Oct
LIGI KUU BARA: Kumekucha Simba, Yanga, Azam vitani leo
10 years ago
Michuzi18 Jan
ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
Simba na Azam kupepetana ligi kuu
10 years ago
Mwananchi03 May
LIGI KUU: Azam, Simba kama fainali
10 years ago
Mwananchi08 Apr
LIGI KUU BARA: Yanga, Azam mshikemshike