LIGI KUU BARA: Kumekucha Simba, Yanga, Azam vitani leo
>Miamba ya soka nchini, Yanga na Simba baada ya kushindwa kutambiana wiki iliyopita leo itasaka ushindi wa ugenini dhidi ya Stand United na Prisons huku mabingwa watetezi Azam wakiwa nyumbani kuwavaa JKT Ruvu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi08 Apr
LIGI KUU BARA: Yanga, Azam mshikemshike
10 years ago
Mwananchi20 Feb
LIGI KUU BARA: Yanga yang’ara, Azam yashikwa
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Yanga wasusa Sh300 mil za udhamini wa Azam wa Ligi Kuu Bara
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Yanga, Simba zagawa wachezaji kwa klabu 11 za Ligi Kuu Bara
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-5I9yGbovrqk/VUpR4EabmPI/AAAAAAAHVxc/auhSTzsRkbg/s72-c/MMGL0780.jpg)
YANGA YABAMIZWA BAO 2 - 1 KUTOKA KWA AZAM NA KUWA MABINGWA WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA 2014 - 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-5I9yGbovrqk/VUpR4EabmPI/AAAAAAAHVxc/auhSTzsRkbg/s1600/MMGL0780.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-w8qZvZaS9us/VUpReV155nI/AAAAAAAHVwM/cByfPFyn_2g/s1600/IMG_9943.jpg)
Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-iY0FeOWICQU/VUpReAtC49I/AAAAAAAHVwE/kH01q9iQUHo/s1600/IMG_9925.jpg)
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Simba, Azam zatofautiana na Yanga ratiba ligi Kuu
SIKU moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutangaza ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Uongozi wa Mabingwa wa ligi hiyo, Yanga umeibuka na kuipinga kwa madai kuwa haikuwatendea haki.
Ligi hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 12 kwa michezo saba ya ufunguzi kuchezwa katika viwanja tofauti nchini.
Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tibohora, alisema kuwa wao hawajaridhika na upangaji wa ratiba hiyo, na inaonyesha wazi nia yao ni kutaka wafanye vibaya msimu...
9 years ago
Mwananchi16 Sep
UHONDO WA LIGI KUU: Simba na kisasi, Yanga, Azam kasi
9 years ago
Mtanzania17 Oct
Yanga, Azam, Simba vitani
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
LIGI Kuu ya Tanzania Bara inaendelea leo kwa mechi sita katika viwanja tofauti huku Yanga ikiikaribisha Azam FC katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Yanga, Azam na Simba zitakuwa zikicheza kusaka ushindi katika mechi zao ili zijiweke katika nafasi nzuri katika mbio za kuwania taji la Ligi Kuu Tanzania Bara.
Yanga ina pointi 15 sawa na Azam lakini inaongoza kwa kupachika mabao 13 huku Azam ikiwa na mabao 9, hivyo kila moja itakuwa ikisaka ushindi ili kuongoza...
9 years ago
Habarileo12 Dec
Azam, Yanga, Simba vitani
LEO ni vita ya namba. Baada ya mapumziko ya mwezi mmoja michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara itaendelea kutimua vumbi katika viwanja sita tofauti, huku Simba, Azam FC na Yanga kila moja ikiingia katika vita ya namba kusaka pointi tatu muhimu.