Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vita ya Yanga, Azam, Simba

simba,azam,yangaNA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

TIMU za Yanga, Azam na Simba, leo zinaingia kibaruani kwa mara nyingine katika viwanja tofauti katika raundi ya 12 ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga, wao watakuwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kuwakabili Stand United ya Shinyanga.

Yanga, wanaoongoza ligi hiyo wakiwa na pointi 27 baada ya kucheza mechi 11, wanashuka dimbani wakitokea mkoani Tanga, ambako wamecheza mechi mbili baina ya Mgambo Shooting na Africans Sports,...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ni vita Yanga, Azam

KIVUMBI cha Ligi Kuu Tanzania Bara, kinatarajiwa kuendelea tena leo katika viwanja viwili kwa timu ya Yanga kuwakaribisha Kagera Sugar katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Wakati Yanga...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga, Azam ni vita

MIAMBA ya Ligi Kuu Bara, Yanga na Azam leo itashuka kwenye Uwanja wa Amaan mjini hapa kumenyana katika mechi ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. Mechi hiyo inatarajiwa kuwa ya vuta nikuvite huku kila timu ikitaka kuonesha ubabe kwa mwenzie baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 katika mechi ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu bara mwaka jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam, Yanga vita ya kisasi

‘Leo ndiyo leo, asiye na mwana aelekee jiwe’, mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC watakuwa na kibarua kizito mbele ya Yanga ya Marcio Maximo katika mchezo wa Ngao ya Jamii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

Kibadeni azitangazia vita Simba, Yanga

Kocha Mkuu wa Ashanti United, Abdallah Kibadeni. Na Hans Mloli
KOCHA Mkuu wa Ashanti United, Abdallah Kibadeni ameziambia Simba na Yanga zisitegemee kabisa ushindi kwenye mechi watakazokutana katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara badala yake wajipange kwa vita kali. Kibadeni amefunguka kuwa wamejipanga kwa mengi kwa ajili ya mzunguko wa pili ikiwemo kuifunga kila timu watakayokutana nayo. “Tunachotaka sisi ni ushindi...

 

9 years ago

Mwananchi

Vita ya Simba ya Sh400m dhidi ya Yanga ya 800m

Sahau kabisa kuhusu siasa za Ukawa na CCM na wagombea wao, Edward Lowassa na Dk John Magufuli, ambazo zimekuwa gumzo siku hizi.

 

9 years ago

Mwananchi

Simba, Azam ni kikwazo Yanga

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amesema hatima ya timu yake kutetea ubingwa wa Ligi Kuu imeshikiliwa na wapinzani wake wakubwa Azam na Simba.

 

9 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam, Simba usipime

Yanga na Azam zimeendelea kujikita kileleni mwa ligi baada  ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar na Coastal Union, huku Simba ikiichapa Stand United kwa bao 1-0.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani