Kibadeni azitangazia vita Simba, Yanga

Kocha Mkuu wa Ashanti United, Abdallah Kibadeni. Na Hans Mloli KOCHA Mkuu wa Ashanti United, Abdallah Kibadeni ameziambia Simba na Yanga zisitegemee kabisa ushindi kwenye mechi watakazokutana katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara badala yake wajipange kwa vita kali. Kibadeni amefunguka kuwa wamejipanga kwa mengi kwa ajili ya mzunguko wa pili ikiwemo kuifunga kila timu watakayokutana nayo. “Tunachotaka sisi ni ushindi...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania19 Dec
Vita ya Yanga, Azam, Simba
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
TIMU za Yanga, Azam na Simba, leo zinaingia kibaruani kwa mara nyingine katika viwanja tofauti katika raundi ya 12 ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Yanga, wao watakuwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kuwakabili Stand United ya Shinyanga.
Yanga, wanaoongoza ligi hiyo wakiwa na pointi 27 baada ya kucheza mechi 11, wanashuka dimbani wakitokea mkoani Tanga, ambako wamecheza mechi mbili baina ya Mgambo Shooting na Africans Sports,...
10 years ago
Mwananchi25 Sep
Vita ya Simba ya Sh400m dhidi ya Yanga ya 800m
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Kocha Kibadeni arudishwa Simba
10 years ago
Mtanzania30 Sep
Kibadeni: Simba itajuta kwa Tambwe
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA mkongwe nchini na Mshauri wa Ufundi wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Abdallah Kibadeni ‘King’, amesema kuwa Simba itajutia sana kitendo cha kumuacha mshambuliaji, Amissi Tambwe na kusajiliwa na Yanga, akidai ni mmoja wa washambuliaji bora kwa sasa katika Ligi Kuu ya Vodacom (VPL).
Kibadeni ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku chache mara baada ya Tambwe kung’ara kwenye mechi ya watani wa jadi, kwa kuifunga timu yake hiyo ya zamani kwenye ushindi wa Yanga...
10 years ago
MichuziKibadeni ampa mawaidha Kocha Phiri wa Simba
Kibadeni alisema Simba wana nafasi kubwa ya kutetea ushindi wao, lakini wanachotakiwa kuzingatia ni kwenye safu hizo mbili ili waweze kuzuia mashambulizi ya wapinzani wao, vinginevyo itawawia ngumu.
"Mechi hiyo itakuwa ngumu kwa...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
10 years ago
Vijimambo09 Mar
10 years ago
Vijimambo
AUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0


