Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kibadeni: Simba itajuta kwa Tambwe

kibadeniNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

KOCHA mkongwe nchini na Mshauri wa Ufundi wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Abdallah Kibadeni ‘King’, amesema kuwa Simba itajutia sana kitendo cha kumuacha mshambuliaji, Amissi Tambwe na kusajiliwa na Yanga, akidai ni mmoja wa washambuliaji bora kwa sasa katika Ligi Kuu ya Vodacom (VPL).

Kibadeni ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku chache mara baada ya Tambwe kung’ara kwenye mechi ya watani wa jadi, kwa kuifunga timu yake hiyo ya zamani kwenye ushindi wa Yanga...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Ndugu wa Tambwe asaini Simba kwa 21m

Amisi Tambwe. Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas TIMU ya Simba imefanikisha usajili wa beki wa pembeni raia wa Burundi, Emiry Nibomana kwa dau la dola 10,000 (zaidi ya shilingi milioni 21). Beki huyo mwenye uwezo wa kucheza namba 2 na 3, tayari alikuwa visiwani Zanzibar ambako timu yake hiyo iliweka kambi kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam, jana. Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka...

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha Kibadeni arudishwa Simba

Rais wa Simba, Evans Aveva amemrudisha kundini kocha wa zamani wa Simba, Abdallah Kibadeni kwa kumteua kuwa makamu wa mwenyekiti wa kamati ya ufundi ya klabu hiyo.

 

11 years ago

GPL

Kibadeni azitangazia vita Simba, Yanga

Kocha Mkuu wa Ashanti United, Abdallah Kibadeni. Na Hans Mloli
KOCHA Mkuu wa Ashanti United, Abdallah Kibadeni ameziambia Simba na Yanga zisitegemee kabisa ushindi kwenye mechi watakazokutana katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara badala yake wajipange kwa vita kali. Kibadeni amefunguka kuwa wamejipanga kwa mengi kwa ajili ya mzunguko wa pili ikiwemo kuifunga kila timu watakayokutana nayo. “Tunachotaka sisi ni ushindi...

 

10 years ago

Michuzi

Kibadeni ampa mawaidha Kocha Phiri wa Simba

ZIKIWA zimesalia siku nne  kufikia mpambano  wa  nani mtani jembe kati ya watani wa jadi  Simba na Yanga,  Kocha wa zamani wa kikosi cha Wanamsimbazi Abdallah Kibadeni, amemshauri  kocha mkuu  wa timu ya Simba Patrick Phiri kuimarisha safu ya ushambuliaji na ulinzi.
Kibadeni alisema Simba wana nafasi kubwa ya kutetea ushindi wao, lakini  wanachotakiwa kuzingatia ni kwenye safu hizo mbili ili waweze kuzuia mashambulizi ya wapinzani wao, vinginevyo itawawia ngumu.
"Mechi hiyo itakuwa ngumu kwa...

 

11 years ago

GPL

TAMBWE BYEBYE SIMBA SC

Mshambuliaji Hamis Tambwe akishangilia. Na Martha Mboma
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Mrundi Amissi Tambwe, anawaniwa na timu kutoka nchi za Oman, Msumbiji kwa ajili ya kwenda kuzitumikia katika ligi za nchi hizo ingawa haijatajwa, timu gani inahitaji saini ya straika huyo.…

 

10 years ago

Mwananchi

Tambwe avuna mamilioni Simba

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeitaka Simba kumlipa mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe

 

10 years ago

GPL

Simba yamtosa Tambwe, kisa...

Mshambuliaji wa kutumainiwa wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe. Sweetbert Lukonge na Khadija Mngwai
HATIMAYE maisha ya mshambuliaji wa kutumainiwa wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe ambaye msimu uliopita alikuwa injini ya timu hiyo katika kuzifumania nyavu, sasa yamegeuka shubiri ndani ya kikosi hicho, hiyo ni baada ya kutua kwa Mganda, Emmanuel Okwi na Mkenya, Paul Kiongera klabuni hapo. Tambwe alisajiliwa na Simba msimu uliopita...

 

9 years ago

Mwananchi

Simba yamleta nduguye Tambwe

Simba imemleta nchini kwa majaribio mshambuliaji kutoka Burundi baada ya kocha mkuu, Dylan Kerr kupendekeza atafutiwe mchezaji mwingine mwenye nguvu, akili ya mchezo.

 

11 years ago

TheCitizen

Tambwe signals Simba SC exit

Simba SC must start preparing for life without Amis Tambwe after the Burundian goal-getter dropped a bombshell by signalling his exit.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani