Simba yamleta nduguye Tambwe
Simba imemleta nchini kwa majaribio mshambuliaji kutoka Burundi baada ya kocha mkuu, Dylan Kerr kupendekeza atafutiwe mchezaji mwingine mwenye nguvu, akili ya mchezo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
TAMBWE BYEBYE SIMBA SC
Mshambuliaji Hamis Tambwe akishangilia. Na Martha Mboma
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Mrundi Amissi Tambwe, anawaniwa na timu kutoka nchi za Oman, Msumbiji kwa ajili ya kwenda kuzitumikia katika ligi za nchi hizo ingawa haijatajwa, timu gani inahitaji saini ya straika huyo.…
9 years ago
Mwananchi27 Dec
Tambwe hazuiliki, Simba yajikwaa
Ni nani wa kumzuia Amissi Tambwe? Hilo ni swali linaloweza kuulizwa sasa na mashabiki, hali kadhalika mabeki wa timu pinzani baada ya jana mshambuliaji huyo wa Yanga kuifungia timu yake mabao mawili wakati timu yake ikiiadhibu Mbeya City kwa mabao 3-0, huku mtani wao, Simba ikikwama tena Kanda ya Ziwa.
11 years ago
GPL
Phiri amtuliza Tambwe Simba
Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya kumuacha katika kikosi cha timu hiyo kilichocheza dhidi ya URA ya Uganda hivi karibuni, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, amemtuliza mshambuliaji wake raia wa Burundi, Amissi Tambwe na kumhakikishia kuwa atapata nafasi ya kucheza. Ijumaa iliyopita, Tambwe alijikuta katika wakati mgumu baada kutoswa katika kikosi cha timu hiyo ambacho kilicheza na URA na...
11 years ago
TheCitizen06 Feb
Tambwe saves Simba blushes
Simba SC climbed to the third place yesterday after playing out a one-all draw against Mtibwa Sugar in a rather dull Vodacom Premier League match.
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Tambwe avuna mamilioni Simba
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeitaka Simba kumlipa mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe
10 years ago
GPL
TFF wawakutanisha Tambwe, Simba
Straika wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Nicodemus Jonas,Dar es Salaam
MALIPO ya straika wa Yanga, Amissi Tambwe ambayo anaidai Simba, yanazidi kupigwa danadana, hiyo ni baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuzitaka pande hizo mbili kukutana na kumalizana. Tambwe anaidai Simba dola 11,000 ambazo ni malipo ya kuvunjwa kwa mkataba wake wakati alipokuwa akiitumikia timu hiyo kabla ya kutua Yanga, Simba pia inadaiwa na Pierre...
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Aveva: Tambwe haondoki Simba
>Rais wa Simba, Evance Aveva amesema hawana mpango wa kumwachia mshambuliaji wao, Amissi Tambwe, labda mwenyewe ang’ang’anie kuondoka.
10 years ago
Vijimambo02 Jan
TAMBWE AISHITAKI SIMBA FIFA


Na Wilbert MolandiMSHAMBULIAJI wa Yanga Mrundi, Amissi Tambwe ameiambia klabu yake ya zamani, Simba kuwa hadi kufikia leo Ijumaa akiwa hajalipwa fedha zake anazodai, basi atakwenda kushtaki kwenye Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).
Tambwe anaidai Simba dola 7,000 (zaidi ya Sh milioni 11) kutokana na klabu hiyo kusitisha mkataba wake hivi karibuni kiasi ambacho kinafanana na kile anachodai aliyekuwa kiungo wa timu hiyo Pierre Kwizera, ambaye...
10 years ago
GPL
Simba yamfungulia mashtaka Tambwe
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Mwandishi Wetu
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe, ameibuka upya na kulizungumzia suala la mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe kupigwa kabali na beki wa Ruvu Shooting huku akisema hata yeye inaonekana alifanya makosa makubwa na alistahili kadi nyekundu. Kigogo huyo mwenye ushawishi ndani ya Simba, amesema Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), linatakiwa kumpa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania