TFF wawakutanisha Tambwe, Simba
![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJICoCYZRWXm*WHwX2kwPKvJHJTSVa6mnNrwDszUr6Yh*BuGEL0wEqKkHW8BO7kWJEc-JMWVQlS0zL7EvrWcNpfo/tff.gif?width=650)
Straika wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Nicodemus Jonas,Dar es Salaam MALIPO ya straika wa Yanga, Amissi Tambwe ambayo anaidai Simba, yanazidi kupigwa danadana, hiyo ni baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuzitaka pande hizo mbili kukutana na kumalizana. Tambwe anaidai Simba dola 11,000 ambazo ni malipo ya kuvunjwa kwa mkataba wake wakati alipokuwa akiitumikia timu hiyo kabla ya kutua Yanga, Simba pia inadaiwa na Pierre...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo10 Feb
ALIYEMNIGA TAMBWE, ATUPWA JELA TFF
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/Tambwe.jpg)
10 years ago
MichuziMchezaji Hamis Tambwe alia na TFF,atawaka wanaoleta vurugu wachukuliwe hatua
Mshambuliaji Hamis Tambwe amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuchukua hatua stahiki dhidi ya wachezaji wa Ruvu Shooting kwa kitendo cha kumshambulia na kumtolea lugha chafu uwanjani ikiwemo kumbagua kwa kumuita mkimbizi.
Akizungumza Makao Makuu ya klabu ya Yanga iliyopo mtaa wa Twiga na Jangwani leo, Tambwe alisema kuwa kitendo alichofanyiwa ni cha kinyama na anakilaani kwa nguvu zote, na anataka aelezwe wazi iwapo wachezaji kutoka mataifa mengine hawatakiwi kucheza Tanzania.
"Uwanja...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DLo0tVWR9Kd7fDSblO3D0CTAbrZsSQGVAbYlm*qNOY6ovZF7NiCbDUU2FUm4YGvKjeswh3f-5Ftzn8Pqq-Xftdky5CvmsSHs/tambwe.jpg?width=650)
TAMBWE BYEBYE SIMBA SC
9 years ago
Mwananchi15 Aug
Simba yamleta nduguye Tambwe
11 years ago
TheCitizen06 Feb
Tambwe saves Simba blushes
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CWRwFfvur*CENL*fVUEuR0J78GIdHOUvESPFtq3dZ8-ecKb3SYSNO18UBYzfxXMk2AW7ZV1D-080ubDjk-DptPehoQ0h*Uha/yamtosa.jpg)
Simba yamtosa Tambwe, kisa...
9 years ago
Mwananchi27 Dec
Tambwe hazuiliki, Simba yajikwaa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouuoQrz7lw*tYXn42M9AkTiFVdrJOx*RHD4nI*SPKZyFg2nzANz1U-6treOtRNLAO3Gpz0zNQ73N3u7fyoqapTAOt/phili.jpg)
Phiri amtuliza Tambwe Simba