Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yamtosa Tambwe, kisa...

Mshambuliaji wa kutumainiwa wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe. Sweetbert Lukonge na Khadija Mngwai
HATIMAYE maisha ya mshambuliaji wa kutumainiwa wa Simba, Mrundi, Amissi Tambwe ambaye msimu uliopita alikuwa injini ya timu hiyo katika kuzifumania nyavu, sasa yamegeuka shubiri ndani ya kikosi hicho, hiyo ni baada ya kutua kwa Mganda, Emmanuel Okwi na Mkenya, Paul Kiongera klabuni hapo. Tambwe alisajiliwa na Simba msimu uliopita...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Simba yamtosa Mavugo, yashusha kifaa cha Italia

Klabu ya Simba imeachana na usajili wa mshambuliaji Laudit Mavugo kutoka Burundi ikitarajiwa kushusha mchezaji kutoka Italia kwa ajili ya kuimarisha safu yake ya ushambuliaji.

 

11 years ago

GPL

TAMBWE BYEBYE SIMBA SC

Mshambuliaji Hamis Tambwe akishangilia. Na Martha Mboma
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Mrundi Amissi Tambwe, anawaniwa na timu kutoka nchi za Oman, Msumbiji kwa ajili ya kwenda kuzitumikia katika ligi za nchi hizo ingawa haijatajwa, timu gani inahitaji saini ya straika huyo.…

 

10 years ago

GPL

Simba yamfungulia mashtaka Tambwe

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Mwandishi Wetu
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe, ameibuka upya na kulizungumzia suala la mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe kupigwa kabali na beki wa Ruvu Shooting huku akisema hata yeye inaonekana alifanya makosa makubwa na alistahili kadi nyekundu. Kigogo huyo mwenye ushawishi ndani ya Simba, amesema Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), linatakiwa kumpa...

 

10 years ago

Mwananchi

Tambwe avuna mamilioni Simba

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeitaka Simba kumlipa mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe

 

11 years ago

GPL

Tambwe avuruga mazoezi Simba SC

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto).
Na Sweetbert Lukonge
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe, jana alikuwa kituko katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika katika Gym ya Silas iliyopo Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Katika mazoezi hayo, Tambwe alikuwa kituko kutokana na muda mwingi kufanya makosa kwa kwenda kinyume na maelekezo ya kiongozi wao, Silas Bungaca...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Simba yawazuia Tambwe, Kwizera

UONGOZI wa Klabu ya Simba, umewazuia nyota wake wa Kimataifa kutoka Burundi, Amis Tambwe na Pierre Kwizera kwenda kwao kujiunga na timu ya taifa inajiandaa na mechi ya kirafiki dhidi...

 

10 years ago

GPL

TFF wawakutanisha Tambwe, Simba

Straika wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Nicodemus Jonas,Dar es Salaam
MALIPO ya straika wa Yanga, Amissi Tambwe ambayo anaidai Simba, yanazidi kupigwa danadana, hiyo ni baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuzitaka pande hizo mbili kukutana na kumalizana. Tambwe anaidai Simba dola 11,000 ambazo ni malipo ya kuvunjwa kwa mkataba wake wakati alipokuwa akiitumikia timu hiyo kabla ya kutua Yanga, Simba pia inadaiwa na Pierre...

 

9 years ago

Mwananchi

Simba yamleta nduguye Tambwe

Simba imemleta nchini kwa majaribio mshambuliaji kutoka Burundi baada ya kocha mkuu, Dylan Kerr kupendekeza atafutiwe mchezaji mwingine mwenye nguvu, akili ya mchezo.

 

10 years ago

GPL

Phiri amtuliza Tambwe Simba

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya kumuacha katika kikosi cha timu hiyo kilichocheza dhidi ya URA ya Uganda hivi karibuni, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, amemtuliza mshambuliaji wake raia wa Burundi, Amissi Tambwe na kumhakikishia kuwa atapata nafasi ya kucheza. Ijumaa iliyopita, Tambwe alijikuta katika wakati mgumu baada kutoswa katika kikosi cha timu hiyo ambacho kilicheza na URA na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani