Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndugu wa Tambwe asaini Simba kwa 21m

Amisi Tambwe. Wilbert Molandi na Nicodemus Jonas TIMU ya Simba imefanikisha usajili wa beki wa pembeni raia wa Burundi, Emiry Nibomana kwa dau la dola 10,000 (zaidi ya shilingi milioni 21). Beki huyo mwenye uwezo wa kucheza namba 2 na 3, tayari alikuwa visiwani Zanzibar ambako timu yake hiyo iliweka kambi kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara kabla ya kurejea jijini Dar es Salaam, jana. Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tambwe asaini Yanga, Maximo nje

Yanga imefanya usajili wa kushtukiza kwa kumsajili Amissi Tambwe aliyeachwa na Simba huku kibarua cha Mbrazili Marcio Maximo kikiwa dakika za mwisho Jangwani.  

 

9 years ago

Mtanzania

Kibadeni: Simba itajuta kwa Tambwe

kibadeniNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

KOCHA mkongwe nchini na Mshauri wa Ufundi wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’, Abdallah Kibadeni ‘King’, amesema kuwa Simba itajutia sana kitendo cha kumuacha mshambuliaji, Amissi Tambwe na kusajiliwa na Yanga, akidai ni mmoja wa washambuliaji bora kwa sasa katika Ligi Kuu ya Vodacom (VPL).

Kibadeni ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku chache mara baada ya Tambwe kung’ara kwenye mechi ya watani wa jadi, kwa kuifunga timu yake hiyo ya zamani kwenye ushindi wa Yanga...

 

10 years ago

Mwananchi

Sserunkuma asaini Simba

Simba imempa mkataba wa miaka miwili mshambuliaji wa Gor Mahia ya Kenya, Dan Sserunkuma, imethibitika rasmi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiungo Mzimbabwe asaini Simba

Kiwango kizuri kilichoonyeshwa na kiungo Mzimbabwe aliyekuwa kwenye majaribio, Justice Majabvi kimeifanya klabu ya Simba kumpa mkataba wa miaka miwili.

 

11 years ago

GPL

TAMBWE BYEBYE SIMBA SC

Mshambuliaji Hamis Tambwe akishangilia. Na Martha Mboma
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Mrundi Amissi Tambwe, anawaniwa na timu kutoka nchi za Oman, Msumbiji kwa ajili ya kwenda kuzitumikia katika ligi za nchi hizo ingawa haijatajwa, timu gani inahitaji saini ya straika huyo.…

 

10 years ago

Vijimambo

Singano asaini Azam, Simba yamtibulia


Kiungo mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’ akisaini mkataba.
KIUNGO mshambuliaji Ramadhani Singano ‘Messi’, amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Azam FC, ikiwa ni siku moja baada ya kutamkwa kuwa ni mchezaji huru aliyemalizana na Simba.Singano alisaini mkataba huo jana lakini nyuma ya pazia imebainika kuwa kumbe Simba nayo iliamua kutibua dili lililokuwa likinukia kwa mchezaji huyo kutakiwa kwenda nchini Austria kucheza soka la kulipwa.Akizungumza na Championi Ijumaa, Ofisa Habari...

 

11 years ago

GPL

Beki ataka milioni 35 asaini Simba SC

Beki wa pembeni wa Coastal Union ya Tanga, Abdi Banda. Wilbert Molandi na Said Ally
BEKI wa pembeni wa Coastal Union ya Tanga, Abdi Banda amekubali kusaini kuichezea klabu kongwe ya Simba, lakini kwa sharti moja kubwa kuwa wampatie shilingi milioni 35. Awali, beki huyo ambaye pia anaichezea timu ya taifa ya vijana yenye umri chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes alipendekezwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der...

 

10 years ago

GPL

MKUDE ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC

Kiungo wa timu ya Simba SC, Jonas Gerald Mkude (katikati) akisani mkataba mpya mbele ya Rais wa Simba , Evans Aveva (kulia), Zachalia Hans Pope (kushoto) Jonas Gerald Mkude (katikati) akiweka saini ya dole gumba katika mkataba mpya mbele ya Rais wa Simba , Evans Aveva (kulia), Zachalia Hans Pope (kushoto). KIUNGO wa Simba SC, Jonas Gerald Mkude amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea Simba SC na kusema bado nipo...

 

11 years ago

GPL

Tambwe avuruga mazoezi Simba SC

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Ligi Kuu Bara, Amissi Tambwe(kushoto).
Na Sweetbert Lukonge
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Simba, Amissi Tambwe, jana alikuwa kituko katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika katika Gym ya Silas iliyopo Chang’ombe jijini Dar es Salaam. Katika mazoezi hayo, Tambwe alikuwa kituko kutokana na muda mwingi kufanya makosa kwa kwenda kinyume na maelekezo ya kiongozi wao, Silas Bungaca...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani