Beki ataka milioni 35 asaini Simba SC
![](http://api.ning.com:80/files/BMX2CDnBHSKW4Hly7EtM-urYSp2kYZChDKYQbM*asVVOk-Ce9f3TYnN4QyZpw6AKqvBlALDUcABLKz2dbvyj5IZuzKg3nmCD/beki.gif?width=600)
Beki wa pembeni wa Coastal Union ya Tanga, Abdi Banda. Wilbert Molandi na Said Ally BEKI wa pembeni wa Coastal Union ya Tanga, Abdi Banda amekubali kusaini kuichezea klabu kongwe ya Simba, lakini kwa sharti moja kubwa kuwa wampatie shilingi milioni 35. Awali, beki huyo ambaye pia anaichezea timu ya taifa ya vijana yenye umri chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes alipendekezwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HwqJujqzkWgSqO7ypDtxRUvsKW-BTbKHPVUO1B0U9rp*j6j1AMFAD8uGBif9wtd07*4Uccs0wzvfbZwPOBbt*VrnmcJTmG7U/beki.jpg)
Beki awaita Simba Nigeria
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuWGt8UPx4yp65pF*x3ZoLrlSVnpPFPqv1NZJ9DuIBtKMuQmIpFN3Gx49BmFgYQxSlcHu1zQZoe4SjHiR7tC4DKc/tff.jpg)
TFF yamfungia beki Simba
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Beki Simba atua African Lyon
KLABU ya African Lyon ya jijini Dar es Salaam, ambayo inashiriki Ligi Daraja la Kwanza Taifa (FDL), imemsajili beki wa Simba, Hassan Isihaka kwa mkataba wa miaka mitatu wenye thamani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx8N74TTS3iFiSQH00V127XaimZzsa-gTtxKQFtyo2sz3*QGoZc2ENXKYMU8MmacfCbCJDwHGTD8*D*G5JfAncNf/simba.jpg?width=650)
Friends of Simba wateka beki Azam
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycNNxlOs3veOZmwZO8tmATmYmKSGs*5LQ-bWzKxPSo*ONzv-I3Om-2GWRZxzqaVPZ2OIMuK3V7-ORdXHy-JG1-Rj/tinyo.jpg)
Coutinho awaletea Simba... beki Mbrazili
11 years ago
Mwananchi23 Jun
USAJILI: Simba SC yasajili beki wa Lipuli
10 years ago
Mwananchi20 Apr
Lowassa ataka Kikwete asaini kunyonga wauaji wa albino
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Beki Simba ajipa likizo timu ya Taifa
NA ZAINAB IDDY
BEKI wa Simba, Abdi Banda, amesema kuwa kwa hivi sasa hana mpango wa kuitumikia timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ hadi baada ya mwaka mmoja kutokana na majanga aliyokutana nayo akiwa na timu hiyo.
Banda hivi karibuni ameanza mazoezi na kikosi chake cha Simba, baada ya kuwa nje ya uwanja kwa kipindi kirefu kutokana na kusumbuliwa na tatizo la nyama za paja alilolipata akiwa na Taifa Stars kipindi ikijiandaa na michuano ya Afcon ilipokuwa kambini nchini Uturuki.
Akizungumza na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dM6a4AYRwJOdljokZc6BqLKrtZcV0RH3qzb7YgnxlJr93Ca3VvG4Vddgdn9KWY7WHldCnkh7gHzfZ6ygVBiZK*HBoWuo1UxK/yanga.jpg?width=650)
Yanga yamteka beki Simba airport, yaondoka naye