TFF yamfungia beki Simba
![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuWGt8UPx4yp65pF*x3ZoLrlSVnpPFPqv1NZJ9DuIBtKMuQmIpFN3Gx49BmFgYQxSlcHu1zQZoe4SjHiR7tC4DKc/tff.jpg)
BEKI wa kushoto wa timu ya Simba (kulia), Abdi Banda. Na Said Ally BEKI wa kushoto wa timu ya Simba, Abdi Banda, amesema kuwa amefungiwa mechi mbili na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Banda alikuwa na utata kwenye usajili wake na Simba huku akidaiwa kuwa alisaini kwenye timu hiyo ya Msimbazi wakati akiwa bado na mkataba na Coastal Union na timu zote zilipeleka jina la mchezaji huyo kwenye usajili wake lakini aliidhinishwa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Sep
TFF yamfungia Juma Nyoso kucheza soka kwa miaka miwili
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HwqJujqzkWgSqO7ypDtxRUvsKW-BTbKHPVUO1B0U9rp*j6j1AMFAD8uGBif9wtd07*4Uccs0wzvfbZwPOBbt*VrnmcJTmG7U/beki.jpg)
Beki awaita Simba Nigeria
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BMX2CDnBHSKW4Hly7EtM-urYSp2kYZChDKYQbM*asVVOk-Ce9f3TYnN4QyZpw6AKqvBlALDUcABLKz2dbvyj5IZuzKg3nmCD/beki.gif?width=600)
Beki ataka milioni 35 asaini Simba SC
11 years ago
Mwananchi23 Jun
USAJILI: Simba SC yasajili beki wa Lipuli
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Beki Simba atua African Lyon
KLABU ya African Lyon ya jijini Dar es Salaam, ambayo inashiriki Ligi Daraja la Kwanza Taifa (FDL), imemsajili beki wa Simba, Hassan Isihaka kwa mkataba wa miaka mitatu wenye thamani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx8N74TTS3iFiSQH00V127XaimZzsa-gTtxKQFtyo2sz3*QGoZc2ENXKYMU8MmacfCbCJDwHGTD8*D*G5JfAncNf/simba.jpg?width=650)
Friends of Simba wateka beki Azam
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycNNxlOs3veOZmwZO8tmATmYmKSGs*5LQ-bWzKxPSo*ONzv-I3Om-2GWRZxzqaVPZ2OIMuK3V7-ORdXHy-JG1-Rj/tinyo.jpg)
Coutinho awaletea Simba... beki Mbrazili
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Beki Simba ajipa likizo timu ya Taifa
NA ZAINAB IDDY
BEKI wa Simba, Abdi Banda, amesema kuwa kwa hivi sasa hana mpango wa kuitumikia timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ hadi baada ya mwaka mmoja kutokana na majanga aliyokutana nayo akiwa na timu hiyo.
Banda hivi karibuni ameanza mazoezi na kikosi chake cha Simba, baada ya kuwa nje ya uwanja kwa kipindi kirefu kutokana na kusumbuliwa na tatizo la nyama za paja alilolipata akiwa na Taifa Stars kipindi ikijiandaa na michuano ya Afcon ilipokuwa kambini nchini Uturuki.
Akizungumza na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dM6a4AYRwJOdljokZc6BqLKrtZcV0RH3qzb7YgnxlJr93Ca3VvG4Vddgdn9KWY7WHldCnkh7gHzfZ6ygVBiZK*HBoWuo1UxK/yanga.jpg?width=650)
Yanga yamteka beki Simba airport, yaondoka naye