TFF yamfungia Juma Nyoso kucheza soka kwa miaka miwili
Kamati ya uendeshaji ya ligi kuu Tanzania Bara iliyokutana September 29 kupitia ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya ligi kuu na ligi daraja la kwanza nchini, imemfungia nahodha wa Mbeya City, Juma Nyoso kucheza mpira wa miguu kwa kipindi cha miaka miwili. Pia imempiga faini ya shilingi milioni mbili kuafutia kitendo cha udhalilishaji alichomfanyia mchezaji […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi30 Sep
NYOSO AFUNGIWA MIAKA MIWILI
![](http://tff.or.tz/images/gs.png)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-yaDToKVoFb4/VNSrgKe_dgI/AAAAAAAHCMM/v5Cbxu4E5vI/s72-c/MORRIS1.jpg)
KAMATI YA NIDHAMU TFF YAWAADHIBU JUMA NYOSO NA AGGREY MORRIS
![](http://1.bp.blogspot.com/-yaDToKVoFb4/VNSrgKe_dgI/AAAAAAAHCMM/v5Cbxu4E5vI/s1600/MORRIS1.jpg)
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungia kati ya mechi tatu na nane wachezaji Juma Nyoso wa Mbeya City na Aggrey Morris wa Azam kutokana na makosa ya kinidhamu waliyoyafanya wakiwa uwanjani.
Nyoso ambaye alilalamikiwa na TFF kwa kumfanyia vitendo vya udhalilishaji mshambuliaji Elias Maguri wa Simba amefungiwa mechi nane za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL). Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia Ibara ya 57 na Ibara ya 11 (f) ya Kanuni za Nidhamu za TFF Toleo la...
9 years ago
Bongo528 Sep
TFF kumchukulia hatua mchezaji ‘anayewapiga dole’ wenzie uwanjani, Juma Nyoso
9 years ago
Vijimambo29 Sep
Nyosso kufungiwa miaka miwili TFF.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Malinzi-29Katuni2015.png)
Wakati Rais wa TFF, Jamal Malinzi, ameweka wazi kuwa shirikisho hilo la soka nchini litamwadhibu Juma Nyosso, beki huyo wa kati wa Mbeya City yuko hatarini kufungiwa miaka miwili kucheza soka kutokana na kurudia tabia yake chafu ya kupenyeza kidole katikati ya makalio ya wachezaji wa timu pinzani.
Aidha, mshambuliaji Donald Ngoma wa Yanga yuko hatarini kufungiwa mechi tatu na kupigwa faini kutokana na kumpiga kichwa kwa makusudi mbali na ulipokuwapo mpira...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuWGt8UPx4yp65pF*x3ZoLrlSVnpPFPqv1NZJ9DuIBtKMuQmIpFN3Gx49BmFgYQxSlcHu1zQZoe4SjHiR7tC4DKc/tff.jpg)
TFF yamfungia beki Simba
11 years ago
Bongo508 Jul
Ashley Cole atua AS Roma kwa mkataba wa miaka miwili
10 years ago
MichuziSERIKALI YALIFUNGIA SHINDANO LA MISS TANZANIA KWA MIAKA MIWILI
Serikali imelifungia shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili kutokana na sababu mbalimbali na ukiukwaji wa taratibu walizojiwekea, ikiwemo udanganyifu mkubwa unaojitokeza kila mwaka kwenye shidano hilo.
Maamuzi hayo yamechukuliwa na BASATA, ambapo Kaimu Mtendaji wa Baraza hilo Godfrey Mngereza amesema maamuzi hayo yalifikiwa baada ya kukaa kikao cha tathmini ambapo Kamati ya Miss Tanzania ilishindwa kujibu hoja za msingi za wadau na kukiri kuwepo udhaifu katika uendeshaji wa shindano...
10 years ago
Dewji Blog02 Dec
Fastjet yaadhimisha miaka miwili ya huduma nafuu kwa wasafiri wa anga
Kampuni ya ndege ya fastjet, ambayo ni Kampuni yenye gharama nafuu kote Afrika, imeadhimisha miaka miwili ya kutoa usafiri wa anga barani Africa.
Fastjet ilianza biashara ya usafiri wa anga hapa Tanzania tarehe 29 Novemba 2012, ikifanya safari zake kutoka Dar es Salaam kwenda Kilimanjaro na Mwanza kupitia ndege yake aina ya A319.
Tangu wakati huo, Fastjet imepanua wigo wa mtandao wake nchini Tanzania pamoja na kuanzishwa kwa njia yake ya tatu kwenda Mbeya. Kwa sasa safari za Kimataifa za...
11 years ago
Michuzi19 Apr