KAMATI YA NIDHAMU TFF YAWAADHIBU JUMA NYOSO NA AGGREY MORRIS
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungia kati ya mechi tatu na nane wachezaji Juma Nyoso wa Mbeya City na Aggrey Morris wa Azam kutokana na makosa ya kinidhamu waliyoyafanya wakiwa uwanjani.
Nyoso ambaye alilalamikiwa na TFF kwa kumfanyia vitendo vya udhalilishaji mshambuliaji Elias Maguri wa Simba amefungiwa mechi nane za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL). Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia Ibara ya 57 na Ibara ya 11 (f) ya Kanuni za Nidhamu za TFF Toleo la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
TFF yawaadhibu watovu wa nidhamu
9 years ago
Bongo530 Sep
TFF yamfungia Juma Nyoso kucheza soka kwa miaka miwili
9 years ago
Bongo528 Sep
TFF kumchukulia hatua mchezaji ‘anayewapiga dole’ wenzie uwanjani, Juma Nyoso
5 years ago
CCM BlogKAMATI KUU YA CCM YAIPA SIKU SABA KAMATI NDOGO YA UDHIBITI NA NIDHAMU KUKAMILISHA NA KUWASILISHA KWENYE VIKAO HUSIKA TAARIFA ZA KINA KINANA, MAKAMBA NA MEMBE
Na Bashir Nkoromo, Dar es Salaam
Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
TFF yaadhibu kwa utovu wa nidhamu
10 years ago
BBCSwahili05 Feb
TFF yaadhibu tisa kwa utovu wa nidhamu
10 years ago
StarTV04 May
TFF yatoa adhabu kwa watovu wa nidhamu
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limetoa adhabu kwa timu, viongozi na wachezaji kwa utovu wa nidhamu,.
Kwa mujibu wa Afisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto, Ruvu Shooting imepigwa faini ya sh. 300,000 (laki tatu- wastani wa dola 180) kwa kuzingatia Kanuni ya 14(9) ya Ligi Kuu kwa kutoingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo (changing room) katika mechi namba 149 dhidi ya Kagera Sugar iliyochezwa Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga
Pia Ruvu Shooting imepigwa faini ya sh. 500,000 (laki...
10 years ago
Michuzi11 May
9 years ago
Michuzi21 Aug
KAMATI YA UCHAGUZI DRFA YAPANGUA AGIZO LA KAMATI YA UCHAGUZI TFF KUSIMAMISHA UCHAGUZI WA TEFA
Baada ya kupitia kwa umakini kanuni za uchaguzi za TFF za mwaka 2013 ibara ya 6, na kujiridhisha kuwa hakuna kipengele chochote kinachoruhusu kamati ya uchaguzi ya TFF kuingilia kati...