Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TFF yawaadhibu watovu wa nidhamu

Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limetoa adhabu kwa timu, viongozi na wachezaji kwa utovu wa nidhamu,.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

TFF yatoa adhabu kwa watovu wa nidhamu

Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limetoa adhabu kwa timu, viongozi na wachezaji kwa utovu wa nidhamu,.

Kwa mujibu wa Afisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto, Ruvu Shooting imepigwa faini ya sh. 300,000 (laki tatu- wastani wa dola 180) kwa kuzingatia Kanuni ya 14(9) ya Ligi Kuu kwa kutoingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo (changing room) katika mechi namba 149 dhidi ya Kagera Sugar iliyochezwa Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga

Pia Ruvu Shooting imepigwa faini ya sh. 500,000 (laki...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA NIDHAMU TFF YAWAADHIBU JUMA NYOSO NA AGGREY MORRIS


Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungia kati ya mechi tatu na nane wachezaji Juma Nyoso wa Mbeya City na Aggrey Morris wa Azam kutokana na makosa ya kinidhamu waliyoyafanya wakiwa uwanjani.

Nyoso ambaye alilalamikiwa na TFF kwa kumfanyia vitendo vya udhalilishaji mshambuliaji Elias Maguri wa Simba amefungiwa mechi nane za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL). Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia Ibara ya 57 na Ibara ya 11 (f) ya Kanuni za Nidhamu za TFF Toleo la...

 

10 years ago

BBCSwahili

TFF yaadhibu kwa utovu wa nidhamu

Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limetoa adhabu kwa vilabu, kocha na mchezaji kwa utovu wa nidhamu .

 

10 years ago

BBCSwahili

TFF yaadhibu tisa kwa utovu wa nidhamu

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limetoa adhabu kwa watu tisa kwa kupatikana na hatia ya makosa ya kinidhamu.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KUTOKA TFF LEO: TFF KUREJESHA OFISI ZAKE KARUME, MUDA WA USAJILI WAONGEZWA KWA SIKU KUMI


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeamua kurejesha ofisi zake Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume kwa vile mipango ya uendelezaji wa eneo hilo bado haijakwenda kama ilivyopangwa awali. Uamuzi huo ni moja ya maazimio yaliyofikiwa kati ya Kamati ya Utendaji ya TFF na ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) uliokuwepo nchini kwa wiki nzima kwa ajili ya kufanya mapitio (review) ya uendeshaji wa TFF. Akizungumza Dar es Salaam leo (Agosti 17 mwaka huu), kiongozi wa ujumbe...

 

10 years ago

Mwananchi

Kipaji ni pamoja na nidhamu

Mchezaji hata kama atakuwa na kipaji kizuri kiasi gani uwanjani, kuna jambo moja lazima awe nalo. Ingawa jambo hili halihusiani moja kwa moja na uwezo au kipaji chake, lakini lina nafasi kubwa ya kumfanya kuendelea kujenga kipaji.

 

11 years ago

Habarileo

Sitta: Nataka nidhamu bungeni

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza kazi na kuwaonya wajumbe wa bunge hilo ambao wamekuwa na tabia ya kupayuka ovyo kwenye vipaza sauti, kuwa wasimlaumu kwa vile atawabana kwa kutumia kanuni walizozitunga wao wenyewe.

 

11 years ago

BBCSwahili

Utovu wa nidhamu wamponza Mourinho

Meneja wa Chelsea Jose Mourinho ametozwa faini ya £8,000 kwa kosa la utovu wa nidhamu

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu na udhibiti wa nidhamu shuleni

Katika muktadha wa shule, neno nidhamu linamaanisha hatua mwafaka anazochukua mwalimu dhidi ya mwanafunzi au kikundi cha wanafunzi pale anapobaini kuwa tabia za wanafunzi zinavuruga au kwenda kinyume na taratibu na sheria za shule au jamii kwa jumla.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani