Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta: Nataka nidhamu bungeni

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza kazi na kuwaonya wajumbe wa bunge hilo ambao wamekuwa na tabia ya kupayuka ovyo kwenye vipaza sauti, kuwa wasimlaumu kwa vile atawabana kwa kutumia kanuni walizozitunga wao wenyewe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wawataka wajumbe kuzingatia nidhamu bungeni

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wametakiwa kuwa na nidhamu na kuheshimu muda uliowekwa, kwa ajili ya vikao vya Bunge hilo badala ya kuendeleza malumbano yasiyokuwa na tija kwa Taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta amshambulia Kubenea bungeni

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amemshambulia Mkurugenzi Mtendaji wa HaliHalisi Publishers, Saed Kubenea kwa kitendo chake cha kufungua shauri mahakamani kupinga Bunge hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta akoroga mambo bungeni

LICHA ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuruhusu uvunjwaji wa kanuni ili kuruhusu wenyeviti wa Kamati za Bunge kufafanua baadhi ya mambo wakati wa uwasilishaji wa taarifa...

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta ‘amkataa’ Warioba bungeni

Jaribio la kutaka kumrejesha bungeni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ili ajibu masuala yaliyoibuliwa na Rais Jakaya Kikwete katika hotuba yake ya kufungua Bunge limegonga mwamba.

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Sitta kuwasilisha Bajeti kesho Bungeni

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Samuel Sitta anatarajia kuwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara  kwa mwaka wa Fedha 2014/2015 kesho tarehe 22 Mei, 2014, ambapo atazungumzia utekelezaji wa majukumu ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2013/2014 na makadirio ya mpango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2014/2015.

Hotuba hiyo itapatikana kwenye tovuti ya Wizara www.meac.go.tz na kwenye vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya Mhe. Waziri kumaliza kuisoma Bungeni.

Tunawakaribisha wadau...

 

11 years ago

CloudsFM

Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza mkakati mpya wa kunusuru mchakato wa Katiba Mpya kwa kuitisha kikao cha wajumbe 27 wa Kamati ya Mashauriano ili kuondoa mpasuko kati ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wajumbe wengine.

Katika wajumbe hao wamo maaskofu wawili na masheikh wawili ambao Sitta amewateua kutoka katika Bunge la Katiba.

Sitta ameitisha kikao hicho jijini Dar es Salaam Julai 24 wakati kukiwa na matamko tofauti kuhusu mustakabali wa katiba...

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni

>Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza mkakati mpya wa kunusuru mchakato wa Katiba Mpya kwa kuitisha kikao cha wajumbe 27 wa Kamati ya Mashauriano ili kuondoa mpasuko kati ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wajumbe wengine.

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI SITTA ASEMA MJADALA UNAENDELEA WAKATI MHE EZEKIEL OLUOCH AREJEA BUNGENI AKITANGAZA HANA KUNDI

Wakati bunge Maalum la Katiba linaendelea na kikao leo,  baadhi ya wajumbe waliokuwa wanasemekana kuwa ni wanachama wa umoja wa kinachoitwa katiba ya wananchi (UKAWA) wamejitokeza  na baadhi yao kukanusha kuunga mkono umoja huo. Mmoja wao ni Mhe Ezekiel Oluoch ambaye  alikuwa anadaiwa  kuwa miongoni mwa WANA UKAWA aliingia Bungeni jana na kukana kuhusika na umoja huo  na kuongeza kuwa yeye hana kundi lolote ndani ya bunge, na kwamba ataendelea na kazi ya aliyoteuliwa kuifanya.  Mjumbe wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Nataka kulewa

Hii ni mara yangu ya kwanza kuingia baa na ninajikuta nikitumia zaidi ya sekunde sitini nikiangazaangaza ndani ya baa hiyo bila hata ya  kujua ni  sehemu gani nianzie. Baada ya kuhakikisha kuwa macho yangu yametazama kila kona  ya baa hiyo niliamua kukifuata kiti  kimoja kilichokuwa  wazi karibu na kaunta. Nilifika hapo na kukaa  huku pembezoni  mwangu kukiwa na mwanamume mwingine ambaye kidogo  alinishangaza kwani hakuwa akinywa kilevi na badala yake alikuwa akinywa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani