Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta ‘amkataa’ Warioba bungeni

Jaribio la kutaka kumrejesha bungeni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ili ajibu masuala yaliyoibuliwa na Rais Jakaya Kikwete katika hotuba yake ya kufungua Bunge limegonga mwamba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Sitta amjibu Warioba

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

NA ESTHER MBUSSI, DODOMA

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amepinga madai ya Bunge hilo kuchukuliwa kama la mazuzu na baadhi ya watu kulishusha hadhi kwa kulifananisha na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

Amesema Bunge hilo lina mamlaka zaidi kuliko tume hiyo, ndiyo maana linafanya kazi kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013.

Sitta alisema hayo jana na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Minofu ya Warioba’ iliyonyofolewa na Sitta

PAMOJA na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum, Andrew Chenge kusema kuwa asilimia 75 ya katiba inayopendekezwa imebeba maudhui ya Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba: Namshangaa Sitta

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema anashangazwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kung’ang’ania kuendelea na Bunge hilo licha ya Rais Jakaya Kikwete kuridhia lifikie kikomo Oktoba 4 mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WAWASUBIRI WARIOBA, SITTA MTAANI

Stori: Ojuku Abraham
BAADA ya kutokea malumbano kati ya Mwenyekiti wa Tume Maalum ya Kukusanya Maoni ya wananchi juu ya mchakato wa Katiba mpya, Jaji Joseph Warioba na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba, Samuel Sitta, wananchi waliohojiwa wamesema wanawasubiri kwa hamu wanasiasa hao mitaani ili kuwasikiliza maneno yao. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba, Samuel Sitta. Mara baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi katika...

 

10 years ago

Mtanzania

Sitta azidi kuinanga rasimu ya Jaji Warioba

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

MAREGESI PAUL NA RACHEL MRISHO, DODOMA

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameendelea kusisitiza kuwa rasimu ya Katiba mpya iliyosimamiwa na Jaji Joseph Warioba imejaa kasoro.

Kutokana na hali hiyo, amesema Bunge Maalumu la Katiba limelazimika kuiboresha kwa kuwa kila kitu kinachoandikwa na binadamu hakiwezi kuwa sahihi.

Sitta alitoa kauli hiyo mjini hapa jana, alipokuwa akipokea...

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba kutohojiwa bungeni

Kamati ya Kupitia Rasimu ya Kanuni za Bunge la Katiba imependekeza Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba asiulizwe maswali wakati wa kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kivuli cha UKAWA, Warioba bungeni

PAMOJA na Bunge Maalum la Katiba kumaliza kazi yake ya kuandika Katiba inayopendekezwa ambayo inatarajiwa kukabidhiwa kwa marais Jakaya Kikwete na Dk. Ali Mohamed Shein kesho, majina ya UKAWA na...

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta amshambulia Kubenea bungeni

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amemshambulia Mkurugenzi Mtendaji wa HaliHalisi Publishers, Saed Kubenea kwa kitendo chake cha kufungua shauri mahakamani kupinga Bunge hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Sitta: Nataka nidhamu bungeni

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza kazi na kuwaonya wajumbe wa bunge hilo ambao wamekuwa na tabia ya kupayuka ovyo kwenye vipaza sauti, kuwa wasimlaumu kwa vile atawabana kwa kutumia kanuni walizozitunga wao wenyewe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani