WANANCHI WAWASUBIRI WARIOBA, SITTA MTAANI
![](http://api.ning.com:80/files/HH5EPnzPgDIrAxgW4w2OBa4jImKRf5sxe7HZ6W915Sb84S1s2wLZXk5W*QIF5YTsAbbnNCOEbkKlophiXwvfRKJoYaSoWix-/warioba.jpg)
Stori: Ojuku Abraham BAADA ya kutokea malumbano kati ya Mwenyekiti wa Tume Maalum ya Kukusanya Maoni ya wananchi juu ya mchakato wa Katiba mpya, Jaji Joseph Warioba na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba, Samuel Sitta, wananchi waliohojiwa wamesema wanawasubiri kwa hamu wanasiasa hao mitaani ili kuwasikiliza maneno yao. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba, Samuel Sitta. Mara baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi katika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo27 Sep
Warioba: Tutakutana mtaani
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadilikoya Katiba, Jaji Joseph Warioba ametabiri kampeni za uchaguzi mkuu ujao kutawaliwa na ajenda ya Katiba mpya ambayo kwa mujibu wake, inaweza kugawa nchi. Jaji Warioba ambaye ni Waziri Mkuu mstaafu, ameeleza wasiwasi wa rasimu inayopendekezwa kwamba haitapigiwa kura mwaka 2016 badala yake, mchakato wa katiba utaanza upya.
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Karibu mtaani Samuel Sitta
NAPENDA kuchukua fursa hii kukukaribisha mtaani mzee wangu, Samuel Sitta, baada ya kazi nzito ya kuliongoza Bunge Maalum la Katiba. Hakuna asiyejua uzito wa kazi mliyokuwa mkiifanya pale bungeni maana...
10 years ago
Mtanzania29 Aug
Sitta amjibu Warioba
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NA ESTHER MBUSSI, DODOMA
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amepinga madai ya Bunge hilo kuchukuliwa kama la mazuzu na baadhi ya watu kulishusha hadhi kwa kulifananisha na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Amesema Bunge hilo lina mamlaka zaidi kuliko tume hiyo, ndiyo maana linafanya kazi kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2013.
Sitta alisema hayo jana na...
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Sitta ‘amkataa’ Warioba bungeni
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Jaji Warioba: Namshangaa Sitta
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
‘Minofu ya Warioba’ iliyonyofolewa na Sitta
PAMOJA na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum, Andrew Chenge kusema kuwa asilimia 75 ya katiba inayopendekezwa imebeba maudhui ya Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Tanzania...
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Sitta azidi kuinanga rasimu ya Jaji Warioba
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
MAREGESI PAUL NA RACHEL MRISHO, DODOMA
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameendelea kusisitiza kuwa rasimu ya Katiba mpya iliyosimamiwa na Jaji Joseph Warioba imejaa kasoro.
Kutokana na hali hiyo, amesema Bunge Maalumu la Katiba limelazimika kuiboresha kwa kuwa kila kitu kinachoandikwa na binadamu hakiwezi kuwa sahihi.
Sitta alitoa kauli hiyo mjini hapa jana, alipokuwa akipokea...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-eqffEb5qw8c/Vb-NkAJ3zRI/AAAAAAAHtqM/dqDpWbqVfYA/s72-c/unnamed%2B%252835%2529.jpg)
M-PAWA KUWAFIKIA WANANCHI POPOTE WALIPO MTAANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-eqffEb5qw8c/Vb-NkAJ3zRI/AAAAAAAHtqM/dqDpWbqVfYA/s640/unnamed%2B%252835%2529.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/l5U69tqPk5Wo*fcYX4qpY0xMy1x-tmhXfskyhlFyaX4Ufm-umcaXtt54969kj9HGpO-8AM2-z0ivEy2mp2Cl1xj2WF73Uu4s/001.MPAWA.jpg?width=650)
M-PAWA KUWAFIKIA WANANCHI POPOTE WALIPO MTAANI