Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


M-PAWA KUWAFIKIA WANANCHI POPOTE WALIPO MTAANI‏

Baadhi ya Mabalozi wa Vodacom Tanzania wanaoenda kutoa elimu kwa wateja wa kampuni hiyo na wananchi kwa ujumla kuhusiana na huduma ya M-Pawa wakimsikiliza Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa kampuni hiyo, Kelvin Twissa wakati wa uzinduzi wa kampeni  ya ‘M-Pawa Tumekufikia’ yenye lengo la kuwaelimisha wateja wake nchi nzima  kuhusiana na manufaa ya huduma ya M Pawa inayowawezesha kujiwekea akiba na kujipatia mikopo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

M-PAWA KUWAFIKIA WANANCHI POPOTE WALIPO MTAANI

Baadhi ya Mabalozi wa Vodacom Tanzania wanaoenda kutoa elimu kwa wateja wa kampuni hiyo na wananchi kwa ujumla kuhusiana na huduma ya M-Pawa wakimsikiliza Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa kampuni hiyo,Kelvin Twissa wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘M-Pawa Tumekufikia’ yenye lengo la kuwaelimisha wateja wake nchi nzima kuhusiana na manufaa ya huduma ya M Pawa inayowawezesha kujiwekea akiba na kujipatia mikopo nafuu kwa urahisi zaidi.Uzinduzi huo ulifanyika makao makuu ya kampuni hiyo...

 

5 years ago

CCM Blog

VISHOKA UHAMIAJI WAMCHEFUA WAZIRI SIMBACHAWENE, WASAKWE POPOTE WALIPO

   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Watendaji Wakuu wa Idara ya Uhamiaji Nchini, katika ukumbi wa mikutano wa Idara hilo, jijini Dar es Salaam, leo. Simbachawene amewataka Watendaji hao wawakikishe wanawakamata mawakala wa huduma za Uhamiaji (Vishoka), ambao wanawatapeli wananchi wakijitambulisha ni maafisa uhamiaji katika maeneo mbalimbali nchini. Pia aliwataka viongozi hao kutenda haki katika mchakato wa utoaji wa uraia. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani...

 

5 years ago

Michuzi

VISHOKA UHAMIAJI ‘WAMCHEFUA’ WAZIRI SIMBACHAWENE, AAGIZA WASAKWE POPOTE WALIPO


 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Watendaji Wakuu wa Idara ya Uhamiaji Nchini, katika ukumbi wa mikutano wa Idara hilo, jijini Dar es Salaam, leo. Simbachawene amewataka Watendaji hao wawakikishe wanawakamata mawakala wa huduma za Uhamiaji (Vishoka), ambao wanawatapeli wananchi wakijitambulisha ni maafisa uhamiaji katika maeneo mbalimbali nchini. Pia aliwataka viongozi hao kutenda haki katika mchakato wa utoaji wa uraia. Picha na Wizara...

 

11 years ago

Michuzi

Wanafunzi wa Sekondari Tanzania Sasa Wanaweza Kujadiliana Mtandaoni Popote Walipo


Kwa siku za hivi karibuni matokeo ya mitihani yamekuwa sio mazuri sana na kuna baadhi ya watu wengi wanalaumu mitandao ya kijamii na internet kwa hili, kwamba inawafanya wanafunzi wawe busy kufanya mambo yasiyo ya msingi na kusahau kusoma. 
Kwa kiasi Fulani ni kweli kwani kumekuwa na ongezeko la idadi ya vijana nchini Tanzania wanaojiunga na mitandao ya kijamii na internet kwa ujumla. Hata hivyo, ongezeko hili sio jambo la kuliangalia kwa jicho baya bali kulikumbatia kwani linaweza...

 

11 years ago

GPL

PSPF KUPITIA PSS YAZIDI KUCHIMBA HADI MIZIZI KATIKA KUFANIKISHA KUWAFIKIA WANANCHI KWA URAHISI‏

 Afisa mfuko wa pensheni wa pspf Hadji.H.Jamadary akizungumza namna yakuweza kufaidika na uchangiaji wa hiari katika mfuko wa pensheni wa PSS.  Debora Danniel afisa masoko PSPF ambaye alikuwa akifanya zoezi la kusajiri wanahisa wa kikundi cha Tandika Grain Agents Company PLC baada ya semina.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Alex Msama atangaza vita na wezi wa kazi za wasanii, asema watasakwa popote walipo

1

Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es salaam Bw. Alex Msama akimwaga furushi lililojaa CD na DVD feki za kazi mbaimbali za wasanii zinazorudufiwa kwa wizi na watu wasiokuwa waaminifu hivyo kupelekea hasara kubwa kwa wasanii, kwakuwa kazi hizo haziwaingizii kipato chochote zaidi ya kwanufaisha wezi hao, Kazi hizi zimekamatwa katika maeneo mbalimbali jijini Dar es salaam ikiwa ni pamoja na vifaa mbalimbali vinavyotumika kutengeneza kazi hizo katika msako huo. Thamani ya...

 

10 years ago

Michuzi

Chef Issa aanzisha whatsapp group la Ma-Chef wa Kitanzania popote walipo duniani

Chef Issa ameanzisha group la Whatsapp kwa ajili ya Tanzanian chef's popote duniani ambalo anasema kama wewe ni Chef unaweza jiunga kwa kutuma request mobile No. +46709297384 Lengo likiwa ni kukutana,  kufahamiana,  na kusaidiana kitaaluma. Ma-Chef wote wa Kitanzania mnakaribishwa.

 

11 years ago

Habarileo

Nagu: Wekezeni walipo wananchi

SERIKALI imesema ipo haja ya kuwekeza katika sekta ambazo wananchi wengi ndipo walipo ili waweze kunufaika na kukua kwa uchumi pamoja na kupunguza umasikini.

 

10 years ago

GPL

USALAMA BARABARANI POPOTE UENDAKO NI MUHIMU ZINGATIA SHERIA ZAKE‏

Vijana wanao saidia kuokota mipira katika uwanja wa taifa wakati wa mechi mbalimbali za Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara zikichezwa, wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe maalum unaohusu kuhamasisha Usalama barabarani na kutoa elimu kwa wapenzi wa mpira wa miguu na wachezaji,wakati wa mpambano wa ligi hiyo juzi iliyowakutanisha watani wa jadi Simba na Yanga katika uwanja wa Taifa ambapo Yanga waliibuka na ushindi wa mabao 2-0. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani