Sitta amshambulia Kubenea bungeni
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amemshambulia Mkurugenzi Mtendaji wa HaliHalisi Publishers, Saed Kubenea kwa kitendo chake cha kufungua shauri mahakamani kupinga Bunge hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Sitta ‘amkataa’ Warioba bungeni
11 years ago
Habarileo15 Mar
Sitta: Nataka nidhamu bungeni
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza kazi na kuwaonya wajumbe wa bunge hilo ambao wamekuwa na tabia ya kupayuka ovyo kwenye vipaza sauti, kuwa wasimlaumu kwa vile atawabana kwa kutumia kanuni walizozitunga wao wenyewe.
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
Sitta akoroga mambo bungeni
LICHA ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuruhusu uvunjwaji wa kanuni ili kuruhusu wenyeviti wa Kamati za Bunge kufafanua baadhi ya mambo wakati wa uwasilishaji wa taarifa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-0utie74E5r0/U3zsIldKJ9I/AAAAAAAFkRk/le9IibqvnbE/s72-c/1.jpg)
Waziri Sitta kuwasilisha Bajeti kesho Bungeni
![](http://4.bp.blogspot.com/-0utie74E5r0/U3zsIldKJ9I/AAAAAAAFkRk/le9IibqvnbE/s1600/1.jpg)
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni
11 years ago
CloudsFM09 Jul
Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza mkakati mpya wa kunusuru mchakato wa Katiba Mpya kwa kuitisha kikao cha wajumbe 27 wa Kamati ya Mashauriano ili kuondoa mpasuko kati ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wajumbe wengine.
Katika wajumbe hao wamo maaskofu wawili na masheikh wawili ambao Sitta amewateua kutoka katika Bunge la Katiba.
Sitta ameitisha kikao hicho jijini Dar es Salaam Julai 24 wakati kukiwa na matamko tofauti kuhusu mustakabali wa katiba...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-E2KFjjTr4AE/U1c7mpw_u2I/AAAAAAAFcac/CX1-_gB86pI/s72-c/unnamed+(54).jpg)
MWENYEKITI SITTA ASEMA MJADALA UNAENDELEA WAKATI MHE EZEKIEL OLUOCH AREJEA BUNGENI AKITANGAZA HANA KUNDI
![](http://3.bp.blogspot.com/-E2KFjjTr4AE/U1c7mpw_u2I/AAAAAAAFcac/CX1-_gB86pI/s1600/unnamed+(54).jpg)
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Future amshambulia Ciara
NEW YORK, MAREKANI
MSANII wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Nayvadius Wilburn ‘Future’, amemshambulia mpenzi wake wa zamani, Ciara kwa malezi mabaya ya mtoto wao.
Wawili hao walifanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye walimpa jina la Future Zahir, wakati wa uhusiano wao, lakini baada ya kutengana mtoto huyo akawa anaishi na mama yake ‘Ciara’ ila Future ameonekana kuchukizwa na malezi ya mama huyo kwa mtoto wake.
“Najua mwanangu anateseka kukaa na mama yake, hafundishwi maadili mazuri...
10 years ago
Mtanzania21 Feb
Waziri Dk. Mkangara amshambulia lowassa
Na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mkangara, amemshambulia kwa maneno makali Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na wanasiasa wengine wanaosimama majukwaani na kudai vijana ni bomu linalosubiri kulipuka.
Akizungumza Dar es Salaam jana katika hafla ya kutia saini ya makubaliano ya kuwa na uhusiano wa utendaji kati ya wizara hiyo na Taasisi ya Kutoa Elimu ya Ujasiriamali (Esami), Dk. Mkangara, alisema kauli za namna hiyo ni za ovyo,...