Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni
>Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza mkakati mpya wa kunusuru mchakato wa Katiba Mpya kwa kuitisha kikao cha wajumbe 27 wa Kamati ya Mashauriano ili kuondoa mpasuko kati ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wajumbe wengine.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM09 Jul
Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza mkakati mpya wa kunusuru mchakato wa Katiba Mpya kwa kuitisha kikao cha wajumbe 27 wa Kamati ya Mashauriano ili kuondoa mpasuko kati ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wajumbe wengine.
Katika wajumbe hao wamo maaskofu wawili na masheikh wawili ambao Sitta amewateua kutoka katika Bunge la Katiba.
Sitta ameitisha kikao hicho jijini Dar es Salaam Julai 24 wakati kukiwa na matamko tofauti kuhusu mustakabali wa katiba...
11 years ago
Habarileo06 Jul
Jaji Mutungi atafuta upenyo kuwarejesha Ukawa bungeni
MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi ameingilia kati kuondoa changamoto zilizojitokeza katika awamu ya mchakato ya Bunge Maalumu la Katiba ambalo baadhi ya wafuasi wa kundi linalojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wengi wakiwa viongozi wa vyama vya upinzani, walisusia.
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Jaji Samatta, Prof Lumumba kutumika kuwarejesha Ukawa bungeni
10 years ago
Vijimambo02 Oct
Sitta: Maaskofu ni Ukawa
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Samuel-Sitta-October2-2014.jpg)
Sitta alitoa kauli hiyo jana asubuhi bungeni wakati akisoma matangazo mbalimbali na kuamua kusoma waraka aliodai kuwa umetolewa na viongozi hao wa dini huku akiuhusisha na siasa za kundi la wajumbe waliosusia Bunge Maalum la Katiba kutoka...
11 years ago
Mwananchi02 Jul
IBADA MAALUM: Maaskofu wawataka Ukawa kurejea bungeni
10 years ago
Mtanzania29 Jan
Masheikh: Maaskofu msiingilie mchakato wa mahakama ya kadhi
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
TAASISI ya Masheikh na Wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, imepinga tamko la maaskofu kuhusu kuzuia kuanzishwa kwa Mahakama ya Kadhi na kusema hatua hiyo ni sawa na kuingilia uhuru wa Bunge.
Kutokana na hali hiyo, wametaka maaskofu hao kupitia Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF), kuwaacha wabunge ili waweze kujadili muswada huo kwa uhuru bila kuwapo shinikizo katika suala hilo.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa taasisi hiyo, Sheikh Khamis Mataka,...
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Masheikh wataka maaskofu waliache Bunge lifanye kazi
10 years ago
Mtanzania29 Sep
Masheikh waikataa Rasimu ya Sitta
![Sheikh Rajabu Katimba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Sheikh-Rajabu-Katimba1.jpg)
Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Rajabu Katimba
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
SHURA ya Maimamu Tanzania imetangaza hatua za kuikwamisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, kwa kwenda kuwaeleza waumini wa dini ya Kiislamu kupiga kura ya hapana.
Hatua hiyo imekuja baada ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iliyowasilishwa mwishoni mwa wiki na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge, kuiweka kando Mahakama ya Kadhi.
Akizungumza na MTANZANIA jana mara baada ya...
10 years ago
Habarileo02 Oct
Maaskofu wamkera Sitta
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amesema ataendelea kudharau baadhi ya maaskofu, kama wataendelea kutoa maagizo ya kisiasa. Akizungumza bungeni kuhusu jitihada zilizofanyika ndani na nje ya Bunge Maalumu la Katiba, ili Katiba Inayopendekezwa isipatikane, Sitta alisema ni pamoja na baadhi ya maaskofu kuandaa waraka wa kupinga bunge hilo na kulazimisha usomwe makanisani.