Masheikh waikataa Rasimu ya Sitta
Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Rajabu Katimba
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
SHURA ya Maimamu Tanzania imetangaza hatua za kuikwamisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, kwa kwenda kuwaeleza waumini wa dini ya Kiislamu kupiga kura ya hapana.
Hatua hiyo imekuja baada ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iliyowasilishwa mwishoni mwa wiki na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge, kuiweka kando Mahakama ya Kadhi.
Akizungumza na MTANZANIA jana mara baada ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM09 Jul
Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta ameanza mkakati mpya wa kunusuru mchakato wa Katiba Mpya kwa kuitisha kikao cha wajumbe 27 wa Kamati ya Mashauriano ili kuondoa mpasuko kati ya wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na wajumbe wengine.
Katika wajumbe hao wamo maaskofu wawili na masheikh wawili ambao Sitta amewateua kutoka katika Bunge la Katiba.
Sitta ameitisha kikao hicho jijini Dar es Salaam Julai 24 wakati kukiwa na matamko tofauti kuhusu mustakabali wa katiba...
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Sitta ateua masheikh, maaskofu kuwarejesha Ukawa bungeni
10 years ago
Habarileo29 Sep
Turufu ya Rasimu ya Sitta hii hapa
RASIMU ya tatu ya Katiba maarufu kama Rasimu ya Sitta ambayo leo inaanza kupigiwa kura imejikita katika kutetea mahitaji na maslahi mahususi ya makundi makubwa ya jamii ili ikubalike kirahisi.
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Washindwa kuandamana kupinga rasimu ya Sitta
WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Geita wameshindwa kuandamana kwa amani kupinga rasimu ya Kaitba mpya iliyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba jana baada jeshi la polisi...
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Sitta azidi kuinanga rasimu ya Jaji Warioba
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
MAREGESI PAUL NA RACHEL MRISHO, DODOMA
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameendelea kusisitiza kuwa rasimu ya Katiba mpya iliyosimamiwa na Jaji Joseph Warioba imejaa kasoro.
Kutokana na hali hiyo, amesema Bunge Maalumu la Katiba limelazimika kuiboresha kwa kuwa kila kitu kinachoandikwa na binadamu hakiwezi kuwa sahihi.
Sitta alitoa kauli hiyo mjini hapa jana, alipokuwa akipokea...
11 years ago
Mwananchi20 Jan
Yanga waikataa Azam Tv
10 years ago
Habarileo24 Mar
Mawakili wa Lipumba waikataa mahakama
UPANDE wa Utetezi katika kesi ya kufanya mkusanyiko usio halali, inayomkabili Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na wenzake, umepinga Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi hiyo.
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Madiwani waikataa bajeti Mwanza
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Wasanii Tanzania waikataa Cosota
NA KHABIBU NASSORO, (MUC)
WASANII wa muziki nchini wameukataa uongozi wa Cosota kutokana na usimamizi mbaya wa kazi zao.
Wakizungumza na waandishi wahabari katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Little Theatre, jijini Dar es Salaam jana, walisema hawana imani na uongozi wa Cosota na kampuni ya kusimamia kazi za wasanii Afrika Mashariki (CMEA).
“Hatuna imani na Cosota, CMEA na Basata kutokana na kushindwa kusimamia kazi zetu.
“Hata mchakato uliotumika kupata viongozi wa...