Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani waikataa bajeti Mwanza

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, wameshindwa kupitisha Makadirio ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2014/2015 iliyokadiriwa kukusanya Sh87 bilioni kutoka katika vyanzo mbalimbali vya mapato vya halmashauri pamoja na ruzuku kutoka serikalini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Madiwani wakwamisha bajeti ya Jiji Mwanza

KIKAO cha Baraza la Madiwani jijini Mwanza jana kilikataa kupitisha bajeti ya mwaka 20014/15 kwa madai kuwa haijakidhi matakwa ya wananchi kwa kutoa kipaumbele zaidi kwa wafanyakazi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawakilishi waikataa Bajeti ya Wizara ya Afya

Baraza la Wawakilishi Zanzibar limeamua kuondoa Bajeti ya Wizara ya Afya baada ya wajumbe wa baraza hilo kuipinga kwa madai kuwa matumizi yaliyopendekezwa hayajazingatia kuondoa kero zinazoikabili sekta ya afya.

 

11 years ago

Mwananchi

Madiwani waitilia shaka bajeti 2014

Mwenendo wa upatikanaji wa fedha za matumizi ya kawaida na maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya Vijijini yamewatisha madiwani wa halmashauri hiyo, huku wakisema miradi mingi ipo shakani kukamilika.

 

10 years ago

Michuzi

MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WASUSIA KIKAO CHA BAJETI


Msathiki Meya akizungumzia msimamo wake juu ya hatua ya wajumbe wa baraza hilo kutoka nje ya ukumbi wa mikutano wakimtuhumu mkurugenzi wa manispaa hiyo ,Shabani Ntarambe kujihusisha katika uporaji wa Viwanja.Diwani wa kata ya Kaloleni ,Michael Mwita (CCM) akizungumza juu ya kitendo cha madiwani wenzake kutoka nje huku wakituhumu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuhusika katika uporaji wa viwanja vya halmashauri hiyo.

Diwani wa kata ya Kiusa ,Stephen Ngasa akiongozana na mbunge wa jimbo la Moshi...

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI NYASA LAPITISHA BAJETI YA SH.BILIONI 24.5 MPANGO WA FEDHA 2020/21


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mh. Altho Komba akizungumza katika kikao cha  Baraza la madiwani la Bajeti lililofanyika katika Ukumbi wa Kepten John Komba Mbamba-bay wilayani hapa,kushoto na Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Nyasa Bw Bernad Semwaiko……………………………………………………………………………………….Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa  Mkoani Ruvuma limepitisha Mpango na Bajeti ya TSh.bilioni 24.5 kwa ajili kutekeleza shughuli mbalimbali za Halmashauri zilizopangwa kufanyika...

 

11 years ago

Mwananchi

ATCL, Uwanja wa Ndege Mwanza vilivyotishia bajeti ya uchukuzi

Matatizo yanayolikabili Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na kususuasua kwa ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza, ni miongoni mwa mambo yaliyotishia kukwamisha makadirio ya matumizi ya Wizara ya Uchukuzi, bungeni juzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga waikataa Azam Tv

Wanachama wa Yanga wameikataa Azam Tv kurusha mechi zao na kuwataka viongozi wao kuipeleka mahakamani kama itakaidi na kuendelea kurusha mechi za Yanga bila idhini ya klabu hiyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Masheikh waikataa Rasimu ya Sitta

Sheikh Rajabu Katimba

Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Rajabu Katimba

NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

SHURA ya Maimamu Tanzania imetangaza hatua za kuikwamisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, kwa kwenda kuwaeleza waumini wa dini ya Kiislamu kupiga kura ya hapana.

Hatua hiyo imekuja baada ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iliyowasilishwa mwishoni mwa wiki na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Andrew Chenge, kuiweka kando Mahakama ya Kadhi.

Akizungumza na MTANZANIA jana mara baada ya...

 

10 years ago

Habarileo

Mawakili wa Lipumba waikataa mahakama

Mwenyekiti wa CUF Taifa, Profesa Ibrahim LipumbaUPANDE wa Utetezi katika kesi ya kufanya mkusanyiko usio halali, inayomkabili Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na wenzake, umepinga Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani