Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WASUSIA KIKAO CHA BAJETI


Msathiki Meya akizungumzia msimamo wake juu ya hatua ya wajumbe wa baraza hilo kutoka nje ya ukumbi wa mikutano wakimtuhumu mkurugenzi wa manispaa hiyo ,Shabani Ntarambe kujihusisha katika uporaji wa Viwanja.Diwani wa kata ya Kaloleni ,Michael Mwita (CCM) akizungumza juu ya kitendo cha madiwani wenzake kutoka nje huku wakituhumu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuhusika katika uporaji wa viwanja vya halmashauri hiyo.

Diwani wa kata ya Kiusa ,Stephen Ngasa akiongozana na mbunge wa jimbo la Moshi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Madiwani Chadema wasusia kikao Moshi

Baraza la Madiwani la Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro limesusia kushiriki kikao cha bajeti na kuamua kutoka nje ya ukumbi, wakimtuhumu mkurugenzi wa manispaa hiyo, Shaban Ntarambe kushiriki katika mgogoro wa kiwanja.

 

10 years ago

Michuzi

KIKAO CHA MWISHO CHA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA IRINGA

Mstahiki  meya  wa Manispaa ya  Iringa Amani Mwamwindi  akifungua kikao  hicho cha mwisho katika ukumbi wa Manispaa leo.Madiwani  wa Halmashauri ya  Manispaa ya  Iringa  wakiwa katika  kikao  cha mwisho leoMadiwani  wakiwa katika kikao. Picha na Francis Godwin.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani CHADEMA wasusia kikao

MADIWANI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Nkasi, wamelazimika kutoka nje ya kikao cha Baraza la madiwani baada ya kupishana kauli kati yao na wenzao wa Chama cha...

 

5 years ago

CCM Blog

BARAZA LA MADIWANI LA MANISPAA YA UBUNGO LAFANYA KIKAO CHAKE CHA KAWAIDA CHA ROBO YA PILI YA MWAKA 2019/20

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Beatrice Dominic akifungua Kikao cha Baraza la kawaida la robo ya pili ya mwaka wa fedha ya mwaka 2019/2020 la Madiwani wa Manispaa hiyo ambacho kimefanyika leo katika ukumbi uliopo Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Luguruni. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kikao hicho, Meya wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob.


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Beatrice Dominic na Meya wa Manispaa hiyo wakiwa...

 

10 years ago

GPL

MADIWANI MANISPAA YA KINONDONI WAFANYA KIKAO

Naibu Meya, Songoro Mnyonge (kushoto), Mstahiki Meya wa manspaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (katikati) na Injinia Musa Natty. Diwani kata ya Kunduchi, Janeth Rite, akisisitiza jambo.…

 

11 years ago

Michuzi

MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WATEMBELEA VYANZO VYA MAJI VYA MUWSA

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja (mwenye suti)akiwaongoza madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Moshi kutembelea vyanzo vya maji vinavyosimamiwa na mamlaka hiyo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja(aliyenyoosha mkono)akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea chanzo cha Maji cha Cofee Curing.  Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira...

 

11 years ago

Habarileo

Kikao cha Madiwani Uvinza chavunjika

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza jana lilivunjika muda mfupi baada ya kuanza, kutokana na wajumbe kususia. Kikao kilivunjwa, kutokana na kile kilichodaiwa kutowasilishwa taarifa muhimu za kujadiliwa kwenye baraza hilo.

 

10 years ago

Habarileo

Kikao cha madiwani chavunjwa kwa maazimio kutotekelezwa

KIKAO cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara juzi kilivunjika baada ya madiwani hao kudai kuwa maazimio ya vikao vilivyopita kushindwa kutekelezwa bila ya sababu za msingi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani