Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani Chadema wasusia kikao Moshi

Baraza la Madiwani la Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro limesusia kushiriki kikao cha bajeti na kuamua kutoka nje ya ukumbi, wakimtuhumu mkurugenzi wa manispaa hiyo, Shaban Ntarambe kushiriki katika mgogoro wa kiwanja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WASUSIA KIKAO CHA BAJETI


Msathiki Meya akizungumzia msimamo wake juu ya hatua ya wajumbe wa baraza hilo kutoka nje ya ukumbi wa mikutano wakimtuhumu mkurugenzi wa manispaa hiyo ,Shabani Ntarambe kujihusisha katika uporaji wa Viwanja.Diwani wa kata ya Kaloleni ,Michael Mwita (CCM) akizungumza juu ya kitendo cha madiwani wenzake kutoka nje huku wakituhumu Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuhusika katika uporaji wa viwanja vya halmashauri hiyo.

Diwani wa kata ya Kiusa ,Stephen Ngasa akiongozana na mbunge wa jimbo la Moshi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madiwani CHADEMA wasusia kikao

MADIWANI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Nkasi, wamelazimika kutoka nje ya kikao cha Baraza la madiwani baada ya kupishana kauli kati yao na wenzao wa Chama cha...

 

10 years ago

Habarileo

Walimu wasusia kikao wakitaka posho

WALIMU 175 wa masomo ya sayansi mkoani Simiyu wameingia kwenye mgomo wa kutoshiriki semina iliyokuwa ikiendelea wilayani Bariadi kwa kutofahamu kiasi cha posho watakacholipwa.

 

11 years ago

Michuzi

hati ya Makubaliano ya Muungano ilivyowasilishwa Bungeni Mjini Dodoma, "UKAWA" wasusia kikao

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Samia Suluhu Hassan akionesha nakala ya Hati ya Makubaliano ya Muungano iliyothibitishwa Bungeni leo mjini Dodoma.
Juu na chini ni Wajumbe wa Bunge  Maalum la Katiba ambao wanaounga mkono mfumo wa  Serikali za tatu wakitoka katika Ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma baada ya kususia kikao.Picha na Idara ya Habari-MAELEZO

 

11 years ago

Habarileo

Kikao cha Madiwani Uvinza chavunjika

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza jana lilivunjika muda mfupi baada ya kuanza, kutokana na wajumbe kususia. Kikao kilivunjwa, kutokana na kile kilichodaiwa kutowasilishwa taarifa muhimu za kujadiliwa kwenye baraza hilo.

 

10 years ago

GPL

MADIWANI MANISPAA YA KINONDONI WAFANYA KIKAO

Naibu Meya, Songoro Mnyonge (kushoto), Mstahiki Meya wa manspaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (katikati) na Injinia Musa Natty. Diwani kata ya Kunduchi, Janeth Rite, akisisitiza jambo.…

 

10 years ago

Habarileo

Kikao cha madiwani chavunjwa kwa maazimio kutotekelezwa

KIKAO cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara juzi kilivunjika baada ya madiwani hao kudai kuwa maazimio ya vikao vilivyopita kushindwa kutekelezwa bila ya sababu za msingi.

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani Momba nusura watwangane kwenye kikao chao

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba jana nusura warushiane makonde ndani ya kikao cha baraza la madiwani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani