Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


hati ya Makubaliano ya Muungano ilivyowasilishwa Bungeni Mjini Dodoma, "UKAWA" wasusia kikao

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Samia Suluhu Hassan akionesha nakala ya Hati ya Makubaliano ya Muungano iliyothibitishwa Bungeni leo mjini Dodoma.
Juu na chini ni Wajumbe wa Bunge  Maalum la Katiba ambao wanaounga mkono mfumo wa  Serikali za tatu wakitoka katika Ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma baada ya kususia kikao.Picha na Idara ya Habari-MAELEZO

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Kutoka Bungeni mjini Dodoma leo kunakoendelea kikao cha nne

PIX 1

Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,Uratibu na Bunge)Mhe.Jenista Mhagama akisoma Muswada wa Sheria ya Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania kwa mara ya pili katika Bunge,Mjini Dodoma.

PIX 3

Mhe.Lediana Mng’ong’o Viti Maalum CCM akitoa maoni yake katika kipindi cha uchangia wa mada kuhusu Muswada wa Sheria ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania,ndani ya Bunge Mjini Dodoma.

PIX 2

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Asha Migiro (kushoto)akimsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mwigulu Nchemba ndani ya Ukumbi wa...

 

10 years ago

GPL

UKAWA WAJITOA RASMI BUNGENI, WAONDOKA MJINI DODOMA

UMOJA wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi UKAWA leo umetangaza rasmi kususia vikao vya bunge vilivyobaki kwa madai ya kukiukwa kwa kanuni za bunge. Akitangaza msimamo huo mjini Dodoma katika mkutano na waandishi wa habari, kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe amesema wabunge wote kutoka katika vyama vinavyounda umoja huo hawataingia tena bungeni licha ya baadhi yao kuwa hawajaadhibiwa. Umoja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hati ya Muungano yatinga bungeni

HATIMAYE serikali imewasilisha bungeni nakala ya hati halisi ya makubaliano ya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika mwaka 1964. Makamu Mwenyekiti wa Bunge, Samia Suluhu, aliwatangazia wajumbe bungeni jana...

 

11 years ago

Habarileo

Hati ya Muungano yawa moto Bungeni

Mwenyekiti wa Ukawa, Freeman MboweKUTOLEWA hadharani kwa Hati ya Muungano, kumeanza kuwachanganya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO, TANO BORA YA WAGOMBEA KUPATIKANA BAADA YA KIKAO HIKI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma. Kikao hiki kinapitia majina yote 38 ya Watangaza nia ya kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, ambapo majina matano yatapatikana baada ya kikao hiki.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM - Zanzibar, Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,...

 

10 years ago

GPL

BAJETI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO ILIVYOWASILISHWA BUNGENI

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo jana bungeni mjini Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii Mhe. Said Mtanda akiwasilisha mapendekezo ya kamati yake kuhusu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa bajeti ya wizara hiyo jana mjini Dodoma.… ...

 

9 years ago

CCM Blog

JK AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambapo ajenda kuu ilikuwa kujadili majina ya wana-CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philipo Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia).
 Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kikiendelea...

 

11 years ago

Dewji Blog

Maamuzi ya kikao cha Kamati Kuu mjini Dodoma

1

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM Dodoma.

Akizungumza na Waandishi wa Habari mjini Dodoma ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi alisema, Kamati Kuu pamoja na mambo mengine, ilipokea taarifa na kufanya tathimini juu ya maendeleo ya mchakato wa mabadiliko ya Katiba nchini, ndani na nje ya Bunge.

Kamati Kuu vilele imepokea na kujadili taarifa kuhusu mazungumzo na mashauriano kati ya vyama vya CUF, CHADEMA,...

 

11 years ago

GPL

KIKAO CHA NEC CCM MJINI DODOMA JANA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili ukumbini kuendesha Kikao Maalum Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma jana, Feb 16, 2014.  Wajumbe wa NEC, na Kamati Kuu ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani