Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA WAJITOA RASMI BUNGENI, WAONDOKA MJINI DODOMA

UMOJA wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya wananchi UKAWA leo umetangaza rasmi kususia vikao vya bunge vilivyobaki kwa madai ya kukiukwa kwa kanuni za bunge. Akitangaza msimamo huo mjini Dodoma katika mkutano na waandishi wa habari, kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe amesema wabunge wote kutoka katika vyama vinavyounda umoja huo hawataingia tena bungeni licha ya baadhi yao kuwa hawajaadhibiwa. Umoja...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

hati ya Makubaliano ya Muungano ilivyowasilishwa Bungeni Mjini Dodoma, "UKAWA" wasusia kikao

Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Samia Suluhu Hassan akionesha nakala ya Hati ya Makubaliano ya Muungano iliyothibitishwa Bungeni leo mjini Dodoma.
Juu na chini ni Wajumbe wa Bunge  Maalum la Katiba ambao wanaounga mkono mfumo wa  Serikali za tatu wakitoka katika Ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma baada ya kususia kikao.Picha na Idara ya Habari-MAELEZO

 

11 years ago

Dewji Blog

Ridhiwani Kikwete na Godfrey Mgimwa waapishwa rasmi Bungeni mjini Dodoma leo

PG4A8145

Mbunge wa Kalenga, Godfrey mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma Mei 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A8185

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni Mjini Dodoma.

PG4A8195

PG4A8131

 Spika wa Bunge,Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo waTaifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza.

PG4A8129

Mke   Rais,Mama Salma Kikwete akiwa Bungeni Mjini Dodoma May 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete...

 

10 years ago

Vijimambo

YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr.Florens Turuka akipongezana na Waziri wa Maji Mhe.Jumanne Magembe mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mei 16, 2015 katika Viwanja vya Bunge Dodoma. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr.Florens Turuka akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi Rais Utumishi Mhe.Celina Kombani mara baada ya kuhairishwa kwa kikao cha Tano cha Bunge la Bajeti Mei, 16, 2015. Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango Ofisi ya Waziri Mkuu Bi.Grace Mosha...

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr.Florens Turuka akipongezana na Waziri wa Maji Mhe.Jumanne Magembe mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mei 16, 2015 katika Viwanja vya Bunge Dodoma.Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr.Florens Turuka akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi Rais Utumishi Mhe.Celina Kombani mara baada ya kuhairishwa kwa kikao cha Tano cha Bunge la Bajeti Mei, 16, 2015.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji Mhandisi Christopgher Chiza...

 

5 years ago

Global Publishers

Matukio Ya Bungeni Mjini Dodoma Leo

 Spika wa Bunge la Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiingia katika ukumbi wa Bunge kuongoza kikao cha saba cha bunge la kumi na moja leo mjini Dodoma.  Spika wa Bunge la Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha saba cha bunge la kumi na moja ambapo pia alisema kiasi cha shilingi milioni themanini na tano na laki tano zimechangwa kutokana na makato ya posho ya siku moja yawabunge kwa ajili ya kusaidia waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani...

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi Katika Idara ya Nishati na Mabadiliko ya Tabia Nchi wa Uingereza, Mhe. Gregory Baker (Minister of State at the Department of Energy and Climate Change), Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 14, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika kikao cha Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma,Aprili 15, 2014. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri...

 

10 years ago

Vijimambo

YALIYIJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO

1Waziri wa Fedha, Saada Mkuya akihitimisha Hoja ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Fedha, Bungeni Mjini Dodoma Juni 23, 2015. 2Waziri Mkuu, Mizengo Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mpanda Kati, Said Arfi, Bungeni mjini Dodoma.
4Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Asiye na Wizara Maalum, Profesa Mark Mwandosya na Mbunge wa kigoma Mjini Peter Serukamba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. 5Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na wabunge wa Viti Maalum, Anna...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Anne Makinda akiongozwa na Mpambe kuingia kwenye ukumbi wa Bunge leo Januari 27, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama,Bungeni mjini Dodoma leo Januari 27, 2015.…

 

10 years ago

Vijimambo

HABARI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhandishi Athumani Mfutakamba akisoma taarifa ya kamati hiyo kwa niaba ya mwenyekiti wa kamati hiyo bungeni mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, Jasson Rweikiza akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo.Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge yaMasuala ya Ukimwi Lediana Mng'ong'o akiwasilisha taarifa ya kamati yake.Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani