Hati ya Muungano yawa moto Bungeni
KUTOLEWA hadharani kwa Hati ya Muungano, kumeanza kuwachanganya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Dec
Operesheni Tokomeza yawa ‘kaa la moto’ bungeni
WABUNGE wameungana bila kujali itikadi za vyama vyao na kutaka kwa pamoja Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mawaziri watatu wanaowajibika na Operesheni Tokomeza Ujangili, kuwajibika, kutokana na operesheni hiyo kudaiwa kusababisha vitendo vya kikatili na mauaji kwa wananchi.
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Hati ya Muungano yatinga bungeni
HATIMAYE serikali imewasilisha bungeni nakala ya hati halisi ya makubaliano ya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika mwaka 1964. Makamu Mwenyekiti wa Bunge, Samia Suluhu, aliwatangazia wajumbe bungeni jana...
11 years ago
Michuzihati ya Makubaliano ya Muungano ilivyowasilishwa Bungeni Mjini Dodoma, "UKAWA" wasusia kikao
![](https://4.bp.blogspot.com/-tVWAT2FJFNQ/U06oeDuiUiI/AAAAAAACu6Q/mSWxD_9V92k/s1600/EDWI6545.jpg)
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Sherehe za Muungano zafana, majeshi yawa kivutio
Patricia Kimelemeta na Jonas Mushi, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete jana aliongoza maelfu ya Watanzania kuadhimisha sherehe za miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, huku vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama vikiwa kivutio kikubwa.
Tofauti na ilivyozoelekea miaka yote ambako vikosi vya ulinzi na usalama huwa vinakuwa kundi moja tu vikiwa vimevalia sare maalumu za sherehe, jana kulikuwa na makundi mawili tofauti yakiwa na zana nyingi na za kisasa zinazotumika katika utendaji wa...
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Miaka 50 ya Muungano yawa shubiri kwa wafanyabiashara Feri
“SHEREHE za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar eti zitufanye tuondoke Feri, hatukubaliani na hilo. “Kuna mahusiano gani kati ya shughuli zetu za ukaangaji wa samaki ambao tumeufanya...
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Hati za Muungano mvurugano
11 years ago
Habarileo15 Apr
Hati ya Muungano hadharani
HATIMAYE baada ya upotoshwaji mkubwa wa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuwa Hati ya Muungano haipo, sasa Serikali imeweka hati hiyo hadharani. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema kuwa Rais Jakaya Kikwete ameridhia hati hiyo ioneshwe na waandishi wa habari walikuwa wa kwanza kuiona hati halisi jana.
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Ikulu yaonyesha hati ya Muungano
11 years ago
Habarileo02 Apr
Hati za Muungano hoja Namba 1
SIKU ya kwanza ya kujadili rasimu jana, kwa kamati tatu zilizotoa taarifa, zimeeleza mjadala umeanza kwa amani huku wajumbe wengi wakitaka kuoneshwa kwanza hati za Muungano, zilizosainiwa na waasisi wake, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Shekhe Abeid Amaan Karume, ndipo waanze mjadala.