Ikulu yaonyesha hati ya Muungano
Dar es Salaam. Baada ya mvutano wa muda mrefu bungeni kuhusu ilipo Hati ya Muungano, Ikulu jana iliamua kuitoa hadharani huku ikisisitiza kuwa, “ni halisi na haikuchakachuliwa.â€
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Ikulu yaja juu kuhusu Hati ya Muungano
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Yohana Sefue.
TAMKO LA KATIBU MKUU KIONGOZI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HATI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR IKULU, DAR ES SALAAM, TAREHE 14 APRILI, 2014
Siku 12 zijazo tutasherehekea miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wamezaliwa watu ndani ya Muungano huu na wengine wana wajukuu.
Inasikitisha sana kuwa leo, miaka 50 baadaye ipo dhana potofu inayojengwa kuwa Muungano huu si...
11 years ago
Habarileo15 Apr
Hati ya Muungano hadharani
HATIMAYE baada ya upotoshwaji mkubwa wa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuwa Hati ya Muungano haipo, sasa Serikali imeweka hati hiyo hadharani. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema kuwa Rais Jakaya Kikwete ameridhia hati hiyo ioneshwe na waandishi wa habari walikuwa wa kwanza kuiona hati halisi jana.
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Hati za Muungano mvurugano
11 years ago
Habarileo02 Apr
Hati za Muungano hoja Namba 1
SIKU ya kwanza ya kujadili rasimu jana, kwa kamati tatu zilizotoa taarifa, zimeeleza mjadala umeanza kwa amani huku wajumbe wengi wakitaka kuoneshwa kwanza hati za Muungano, zilizosainiwa na waasisi wake, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Shekhe Abeid Amaan Karume, ndipo waanze mjadala.
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Hati ya Muungano yatinga bungeni
HATIMAYE serikali imewasilisha bungeni nakala ya hati halisi ya makubaliano ya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika mwaka 1964. Makamu Mwenyekiti wa Bunge, Samia Suluhu, aliwatangazia wajumbe bungeni jana...
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Hati ya Muungano haijawahi kuiondoa Tanganyika
11 years ago
Habarileo16 Apr
Hati ya Muungano yawa moto Bungeni
KUTOLEWA hadharani kwa Hati ya Muungano, kumeanza kuwachanganya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj2Ti3e*Tdi9vBPzfEHmMU6wf9iec8NAaB-fDSDvJwjlgjla7YP6Gh3PsM*nu260xAwAtiFQlCMBiYDSNnB0dDFn/JohnMnyikaakichangia.jpg?width=650)
MNYIKA ASHINIKIZA KUPATA HATI YA MUUNGANO
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Kuna siri gani hati za Muungano?
HATIMAYE serikali imetoka mafichoni na kuamua kuziweka hadharani hati halali za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ndiye ametegua kitendawili hicho juzi jioni Ikulu jijini...