Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikulu yaja juu kuhusu Hati ya Muungano

sefue

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Yohana Sefue.

TAMKO LA KATIBU MKUU KIONGOZI KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HATI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR IKULU, DAR ES SALAAM, TAREHE 14 APRILI, 2014

Siku 12 zijazo tutasherehekea miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wamezaliwa watu ndani ya Muungano huu na wengine wana wajukuu.

            Inasikitisha sana kuwa leo, miaka 50 baadaye ipo dhana potofu inayojengwa kuwa Muungano huu si...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ikulu yaonyesha hati ya Muungano

Dar es Salaam. Baada ya mvutano wa muda mrefu bungeni kuhusu ilipo Hati ya Muungano, Ikulu jana iliamua kuitoa hadharani huku ikisisitiza kuwa, “ni halisi na haikuchakachuliwa.”

 

11 years ago

Tanzania Daima

Familia ya Sheikh Yahya yaja juu

MTOTO mkubwa wa marehemu Sheikh Yahya Hussein, Hassan Yahya, amesema kitendo cha askari wanaodaiwa kuwa  mgambo wa jiji  kuvunja kaburi la baba yake pamoja na la aliyekuwa Sheikh Mkuu wa...

 

11 years ago

Habarileo

Hati ya Muungano hadharani

HATIMAYE baada ya upotoshwaji mkubwa wa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuwa Hati ya Muungano haipo, sasa Serikali imeweka hati hiyo hadharani. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema kuwa Rais Jakaya Kikwete ameridhia hati hiyo ioneshwe na waandishi wa habari walikuwa wa kwanza kuiona hati halisi jana.

 

11 years ago

Mwananchi

Hati za Muungano mvurugano

Utata umezidi kuibuka katika Bunge Maalumu la Katiba kutokana na kutopatikana kwa hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na ile ya Sheria ya Baraza la Mapinduzi ya kuridhia Mkataba wa Muungano.

 

10 years ago

Habarileo

Chadema yaja juu wagombea wake kuenguliwa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kimeamua kutumia njia ya Mahakama ili kutaka demokrasia itumike katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hati ya Muungano yatinga bungeni

HATIMAYE serikali imewasilisha bungeni nakala ya hati halisi ya makubaliano ya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika mwaka 1964. Makamu Mwenyekiti wa Bunge, Samia Suluhu, aliwatangazia wajumbe bungeni jana...

 

11 years ago

Habarileo

Hati za Muungano hoja Namba 1

SIKU ya kwanza ya kujadili rasimu jana, kwa kamati tatu zilizotoa taarifa, zimeeleza mjadala umeanza kwa amani huku wajumbe wengi wakitaka kuoneshwa kwanza hati za Muungano, zilizosainiwa na waasisi wake, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Shekhe Abeid Amaan Karume, ndipo waanze mjadala.

 

11 years ago

Tanzania Daima

TEF yaja juu wanahabari kuzuiwa Bunge la Katiba

MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda, amesema wamewasiliana na Katibu wa Bunge, Thomas Kashililah, ili kujua na kupata maelezo kwa nini wamefikia uamuzi wa kuzuia waandishi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Sefue aonesha Hati ya Muungano

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiowaonesha waandishi wa habari hati halisi ya Muungano ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni(picha na Freddy Maro)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani