Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Balozi Sefue aonesha Hati ya Muungano

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiowaonesha waandishi wa habari hati halisi ya Muungano ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni(picha na Freddy Maro)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atembelea balozi wa Tanzania Uingereza jijini London

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, akiweka saini kwenye Kitabu cha Wageni Ofisini kwa Balozi wa Tanzania, Uingereza, jijini London mwishoni mwa juma. Katibu Mkuu Kiongozi, Mheshimiwa Ombeni Sefue, akizungumza na Maafisa wa Ubalozi, alipotembelea Ubalozini hapo. Mheshimiwa Katibu Kiongozi alikuwa nchini Uingereza katika Ziara yake ya kikazi ambayo iliandaliwa na Taasisi ya ESAMI kuhudhuria semina ambayo ilikuwa na lengo la kuwakutanisha Viongozi wa Vyama vya Siasa na Watendaji wa...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU BALOZI MULAMULA APOKEA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI MTEULE WA QATAR NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akipokea Nakala ya Hati za Utambulisho kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) kutoka kwa Balozi Mteule wa Qatar nchini Tanzania,  Mhe. Abdullah Jassim Mohamed Al Maadadi leo tarehe 17 Juni 2015.Balozi Mulamula akiwa katika mazungumzo na Balozi Al Maadadi mara baada ya Balozi huyo kuwasilisha Nakala za Hati za UtambulishoKaimu Mkurugenzi wa Idara ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Balozi Sefue aonya

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amewataka watumishi wa umma nchini kuzingatia sheria, kanuni na taratibu ili kuleta tija kwenye maeneo yao ya kazi. Sefue aliyasema hayo jijini Dar es...

 

11 years ago

Habarileo

Hati ya Muungano hadharani

HATIMAYE baada ya upotoshwaji mkubwa wa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuwa Hati ya Muungano haipo, sasa Serikali imeweka hati hiyo hadharani. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema kuwa Rais Jakaya Kikwete ameridhia hati hiyo ioneshwe na waandishi wa habari walikuwa wa kwanza kuiona hati halisi jana.

 

11 years ago

Mwananchi

Hati za Muungano mvurugano

Utata umezidi kuibuka katika Bunge Maalumu la Katiba kutokana na kutopatikana kwa hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na ile ya Sheria ya Baraza la Mapinduzi ya kuridhia Mkataba wa Muungano.

 

9 years ago

Mwananchi

Aliyejifanya Balozi Sefue mbaroni

Polisi mkoani Kilimanjaro, imemtia mbaroni mtuhumiwa wa makosa ya kimtandao, ambaye anadaiwa kutumia jina la Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue kutapeli viongozi.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Balozi Sefue atema cheche


NA WAANDISHI WETU, DODOMA
SERIKALI imewataka viongozi waandamizi wanaoendelea kutumia risiti za kuandikwa kwa mikono katika makusanyo ya serikali kuachia ngazi kwa kuwa wameshindwa kudhibiti mapato ya serikali.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alipokuwa akifungua mkutano wa faragha wa mwaka wa makatibu wakuu, manaibu na makatibu tawala wa mikoa.
Sefue alisema mfumo ya kukusanya mapato kwa kutumia risiti zilizoandikwa kwa mikono unasababisha uvujaji mkubwa...

 

9 years ago

Habarileo

Balozi Sefue kukagua Muhimbili

BAADA ya Rais John Magufuli, kuagiza fedha zilizochangwa kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge zipelekwe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kununulia vitanda vya wagonjwa, leo Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue anatarajia kufanya ziara katika hospitali hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hati ya Muungano yatinga bungeni

HATIMAYE serikali imewasilisha bungeni nakala ya hati halisi ya makubaliano ya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika mwaka 1964. Makamu Mwenyekiti wa Bunge, Samia Suluhu, aliwatangazia wajumbe bungeni jana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani