Balozi Sefue aonya
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, amewataka watumishi wa umma nchini kuzingatia sheria, kanuni na taratibu ili kuleta tija kwenye maeneo yao ya kazi. Sefue aliyasema hayo jijini Dar es...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKatibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atembelea balozi wa Tanzania Uingereza jijini London
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Oct
Balozi Sefue atema cheche
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
SERIKALI imewataka viongozi waandamizi wanaoendelea kutumia risiti za kuandikwa kwa mikono katika makusanyo ya serikali kuachia ngazi kwa kuwa wameshindwa kudhibiti mapato ya serikali.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alipokuwa akifungua mkutano wa faragha wa mwaka wa makatibu wakuu, manaibu na makatibu tawala wa mikoa.
Sefue alisema mfumo ya kukusanya mapato kwa kutumia risiti zilizoandikwa kwa mikono unasababisha uvujaji mkubwa...
9 years ago
Mwananchi20 Dec
Aliyejifanya Balozi Sefue mbaroni
9 years ago
Habarileo23 Nov
Balozi Sefue kukagua Muhimbili
BAADA ya Rais John Magufuli, kuagiza fedha zilizochangwa kwa ajili ya kugharamia hafla ya wabunge zipelekwe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kununulia vitanda vya wagonjwa, leo Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue anatarajia kufanya ziara katika hospitali hiyo.
11 years ago
MichuziBalozi Sefue aonesha Hati ya Muungano
10 years ago
Mwananchi30 Oct
Balozi Sefue atahadharisha makatibu wakuu
10 years ago
VijimamboBALOZI OMBENI SEFUE AIUNGA MKONO JENGA
10 years ago
Habarileo15 Dec
Balozi Sefue awafunda wasomi wa vyuo vikuu
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu kutovigeuza vyuo kuwa majukwaa ya kisiasa na mahali pa fujo badala yake watumie fursa waliyonayo kujipatia elimu, ujuzi na maarifa.
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
Balozi Sefue awaasa watumishi wa umma kuwajibika
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisalimia na mmoja wa watendaji alipofanya ziara katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na mmoja ya wagomjwa waliolazwa katika kitengo cha mifupa cha MOI Bw. Muhusin Hamiri.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Bw Silasi David mmoja ya wagonjwa waliolazwa katika kitengo cha mifupa cha MOI.Baadhi ya wagonjwa wakiwa wamelazwa katika wodi iliyopo kitengo cha mifupa MOI...