BALOZI OMBENI SEFUE AIUNGA MKONO JENGA

Mmoja wa viongozi wa Jenga foundation Bw. Nassoro Basalama akimvalisha Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue moja ya vitu vilivyokua vinauzwa kwenye mkutano wa DICOTA 2014 Durham, North Carolina kwenye meza ya JJENGA.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atembelea balozi wa Tanzania Uingereza jijini London


10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI,BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA 'CAG'
11 years ago
Dewji Blog28 May
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akutana na Rais wa Africare
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Africare, Dkt Darius Mans, alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam jana Mei 27, 2014.
Kulia ni Mama Sekai P. Chikowero, Mkurugenzi Mwandamizi wa nchi za Tanzania, Rwanda na Uganda wa Africare ambayo ni taasisi kubwa ya maendelo kwa Afrika inayoendeshwa na Wamarekani wenye asili ya watu weusi. Bw. Mans yuko nchini kwa ziara ya kikazi ya siku nne.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akimlaki Rais...
11 years ago
MichuziBALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAKURUGENZI WA RASILIMALIWATU SERIKALINI
11 years ago
Michuzi.jpg)
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA RAIS WA AFRICARE LEO
.jpg)
.jpg)
9 years ago
Michuzi
Ratiba ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Hospitali ya Muhimbili kesho

Ziara hiyo ni kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliyeagiza fedha zilizochangwa ajili ya hafla ya wabunge zitumike kununulia vitanda vya wagonjwa katika hospitali hiyo.
Gerson MsigwaKaimu Mkurugenzi wa Mawasilino, IKULU
20 Novemba, 2015
11 years ago
VijimamboUBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC WAMKARIBISHA BALOZI OMBENI SEFUE KWA CHAKULA CHA JIONI
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI ,BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA MAONESHO YA 39 VIWANJA VYA M.J.NYERERE JIJINI DAR
Katibu Mkuu wa Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akisalimiana Afisa Habari wa Shirika la Taifa la Bima( NIC),Mwanaidi Shemheta alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 39 katika Viwanja vya Mwalim...