BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAKURUGENZI WA RASILIMALIWATU SERIKALINI
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ambaye pia ni mgeni rasmi akifungua mkutano mkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini katika ukumbi wa St. Gasper mjini Dodoma leo.
Kaimu Mkuu Mkoa wa Dodoma Bi Fatma Salum Ally (katikati) akiwakaribisha wageni waalikwa wa mkutanomkuu wa mwaka wa Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Serikalini mkoani Dodoma, kabla ya mgeni rasmi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kulia) kufungua mkutano huo katika ukumbi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA MWAKA WA MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA NAIBU MAKATIBU WAKUU LEO MJINI DODOMA


9 years ago
Michuzi
10 years ago
GPL
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE KUWA MGENI RASMI KATIKA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU
10 years ago
Michuzi
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atembelea balozi wa Tanzania Uingereza jijini London


11 years ago
Dewji Blog28 May
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akutana na Rais wa Africare
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Africare, Dkt Darius Mans, alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam jana Mei 27, 2014.
Kulia ni Mama Sekai P. Chikowero, Mkurugenzi Mwandamizi wa nchi za Tanzania, Rwanda na Uganda wa Africare ambayo ni taasisi kubwa ya maendelo kwa Afrika inayoendeshwa na Wamarekani wenye asili ya watu weusi. Bw. Mans yuko nchini kwa ziara ya kikazi ya siku nne.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akimlaki Rais...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI,BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA 'CAG'
11 years ago
Michuzi.jpg)
KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA RAIS WA AFRICARE LEO
.jpg)
.jpg)