Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atembelea balozi wa Tanzania Uingereza jijini London
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, akiweka saini kwenye Kitabu cha Wageni Ofisini kwa Balozi wa Tanzania, Uingereza, jijini London mwishoni mwa juma. Katibu Mkuu Kiongozi, Mheshimiwa Ombeni Sefue, akizungumza na Maafisa wa Ubalozi, alipotembelea Ubalozini hapo. Mheshimiwa Katibu Kiongozi alikuwa nchini Uingereza katika Ziara yake ya kikazi ambayo iliandaliwa na Taasisi ya ESAMI kuhudhuria semina ambayo ilikuwa na lengo la kuwakutanisha Viongozi wa Vyama vya Siasa na Watendaji wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI ,BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA MAONESHO YA 39 VIWANJA VYA M.J.NYERERE JIJINI DAR
Katibu Mkuu wa Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akisalimiana Afisa Habari wa Shirika la Taifa la Bima( NIC),Mwanaidi Shemheta alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 39 katika Viwanja vya Mwalim...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI,BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA 'CAG'
Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue (mwenye tisheti) akiangalia Tuzo iliyopata Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyoshinda katika utoaji wa huduma za ukaguzi kwa nchi zinazotumia Kiarabu,Kingereza na Kifaransa (Afroasae) alipopita katika banda la CAG katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo kushoto ni CAG,Profesa Juma Assad . Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akisaini Kitabu cha wageni katika banda...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI, BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA 'NHIF' KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA LEO
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKIFUNGUA KONGAMANO LA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA LEO JIJINI DAR
11 years ago
GPLKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA KITUO CHA TAIFA CHA UTUNZAJI KUMBUKUMBU (NRC) DODOMA
11 years ago
Dewji Blog28 May
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akutana na Rais wa Africare
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Africare, Dkt Darius Mans, alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam jana Mei 27, 2014.
Kulia ni Mama Sekai P. Chikowero, Mkurugenzi Mwandamizi wa nchi za Tanzania, Rwanda na Uganda wa Africare ambayo ni taasisi kubwa ya maendelo kwa Afrika inayoendeshwa na Wamarekani wenye asili ya watu weusi. Bw. Mans yuko nchini kwa ziara ya kikazi ya siku nne.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akimlaki Rais...
9 years ago
MichuziRatiba ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue Hospitali ya Muhimbili kesho
Ziara hiyo ni kwa ajili ya kukagua utekelezaji wa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliyeagiza fedha zilizochangwa ajili ya hafla ya wabunge zitumike kununulia vitanda vya wagonjwa katika hospitali hiyo.
Gerson MsigwaKaimu Mkurugenzi wa Mawasilino, IKULU
20 Novemba, 2015
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA RAIS WA AFRICARE LEO
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA TAKWIMU DAR ES SALAAM
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolph Mkenda akizungumza katika mkutano huo.
Mwakilishi wa...