KATIBU MKUU KIONGOZI,BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA 'CAG'
Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue (mwenye tisheti) akiangalia Tuzo iliyopata Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyoshinda katika utoaji wa huduma za ukaguzi kwa nchi zinazotumia Kiarabu,Kingereza na Kifaransa (Afroasae) alipopita katika banda la CAG katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo kushoto ni CAG,Profesa Juma Assad .
Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akisaini Kitabu cha wageni katika banda...
Michuzi