Hati ya Muungano hadharani
HATIMAYE baada ya upotoshwaji mkubwa wa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuwa Hati ya Muungano haipo, sasa Serikali imeweka hati hiyo hadharani. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema kuwa Rais Jakaya Kikwete ameridhia hati hiyo ioneshwe na waandishi wa habari walikuwa wa kwanza kuiona hati halisi jana.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo13 May
Mapato ya Muungano Zanzibar hadharani
FEDHA zinazopelekwa Zanzibar kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za kibajeti, kiuchumi na kijamii, zimewekwa wazi ambapo miongoni mwake zipo zinazotokana na Malipo ya Kodi ya Mishahara (Paye).
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Hati za Muungano mvurugano
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Ikulu yaonyesha hati ya Muungano
11 years ago
Habarileo02 Apr
Hati za Muungano hoja Namba 1
SIKU ya kwanza ya kujadili rasimu jana, kwa kamati tatu zilizotoa taarifa, zimeeleza mjadala umeanza kwa amani huku wajumbe wengi wakitaka kuoneshwa kwanza hati za Muungano, zilizosainiwa na waasisi wake, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Shekhe Abeid Amaan Karume, ndipo waanze mjadala.
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Hati ya Muungano yatinga bungeni
HATIMAYE serikali imewasilisha bungeni nakala ya hati halisi ya makubaliano ya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika mwaka 1964. Makamu Mwenyekiti wa Bunge, Samia Suluhu, aliwatangazia wajumbe bungeni jana...
11 years ago
Habarileo16 Apr
Hati ya Muungano yawa moto Bungeni
KUTOLEWA hadharani kwa Hati ya Muungano, kumeanza kuwachanganya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Kuna siri gani hati za Muungano?
HATIMAYE serikali imetoka mafichoni na kuamua kuziweka hadharani hati halali za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ndiye ametegua kitendawili hicho juzi jioni Ikulu jijini...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj2Ti3e*Tdi9vBPzfEHmMU6wf9iec8NAaB-fDSDvJwjlgjla7YP6Gh3PsM*nu260xAwAtiFQlCMBiYDSNnB0dDFn/JohnMnyikaakichangia.jpg?width=650)
MNYIKA ASHINIKIZA KUPATA HATI YA MUUNGANO
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Hati ya Muungano haijawahi kuiondoa Tanganyika