MNYIKA ASHINIKIZA KUPATA HATI YA MUUNGANO
![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj2Ti3e*Tdi9vBPzfEHmMU6wf9iec8NAaB-fDSDvJwjlgjla7YP6Gh3PsM*nu260xAwAtiFQlCMBiYDSNnB0dDFn/JohnMnyikaakichangia.jpg?width=650)
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, John Mnyika. MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, John Mnyika, amesema atawasilisha hoja kuzuia shughuli za Bunge hilo kuendelea mpaka wajumbe watakapopatiwa hati halisi ya Muungano. Mnyika, ambaye ni Mbunge wa Ubungo (Chadema) alitoa kauli hiyo alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya wajenzi na kusema kuwa ameamua kuchukua hatua hiyo kwa vile hadi sasa serikali haijatoa hati...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Apr
Mnyika: Sijaondoa hoja ya kuitaka Hati ya Muungano
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Hati za Muungano mvurugano
11 years ago
Habarileo15 Apr
Hati ya Muungano hadharani
HATIMAYE baada ya upotoshwaji mkubwa wa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuwa Hati ya Muungano haipo, sasa Serikali imeweka hati hiyo hadharani. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema kuwa Rais Jakaya Kikwete ameridhia hati hiyo ioneshwe na waandishi wa habari walikuwa wa kwanza kuiona hati halisi jana.
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Hati ya Muungano yatinga bungeni
HATIMAYE serikali imewasilisha bungeni nakala ya hati halisi ya makubaliano ya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar yaliyofanyika mwaka 1964. Makamu Mwenyekiti wa Bunge, Samia Suluhu, aliwatangazia wajumbe bungeni jana...
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Ikulu yaonyesha hati ya Muungano
11 years ago
Habarileo02 Apr
Hati za Muungano hoja Namba 1
SIKU ya kwanza ya kujadili rasimu jana, kwa kamati tatu zilizotoa taarifa, zimeeleza mjadala umeanza kwa amani huku wajumbe wengi wakitaka kuoneshwa kwanza hati za Muungano, zilizosainiwa na waasisi wake, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Shekhe Abeid Amaan Karume, ndipo waanze mjadala.
11 years ago
Habarileo16 Apr
Hati ya Muungano yawa moto Bungeni
KUTOLEWA hadharani kwa Hati ya Muungano, kumeanza kuwachanganya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Hati ya Muungano haijawahi kuiondoa Tanganyika
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Kuna siri gani hati za Muungano?
HATIMAYE serikali imetoka mafichoni na kuamua kuziweka hadharani hati halali za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ndiye ametegua kitendawili hicho juzi jioni Ikulu jijini...