Hati ya Muungano haijawahi kuiondoa Tanganyika
Wajumbe waliowachache wa Bunge la Katiba jana waliendelea kuitetea iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Jaji Joseph Warioba kuwa haijavunja hati ya Muungano na kueleza, hati hiyo haijaifuta Serikali ya Tanganyika na hakuna kifungu ambacho kinapendekeza Muundo wa Serikali mbili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Aug
Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano
11 years ago
Habarileo06 Jun
‘Muungano Tanganyika na Z’bar ni halali’
MWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud Othman amesema licha ya kwamba hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haikuridhiwa kwa upande wa Zanzibar katika mwaka 1964, Muungano huo ni halali usiokuwa na shaka.
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Zanzibar ndani ya Tanganyika au muungano?
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Katiba ya Tanganyika yaingizwa kwenye Muungano
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NA FREDY AZZAH, DODOMA
WAKATI Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiendelea na msimamo wa uwapo wa mfumo wa Serikali tatu, Bunge Maalumu la Katiba limeanza kujadili baadhi ya sura ambazo ziliachwa na iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa ajili ya Katiba ya Tanganyika.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta, alisema sura hizo ni pamoja na ile...
10 years ago
Habarileo26 Apr
Leo ni miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
RAIS Jakaya Kikwete ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, leo atawaongoza watanzania katika kuadhimisha miaka 51 ya kuzaliwa kwa Tanzania baada ya kuunganisha nchi mbili huru za Tanganyika na Zanzibar.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ewtvLniYpoN8YDKlZJCEmm3Jn6RyoMSHyIUYkLZumlT7*MfR1CitI0vOwDAGDGMdxUpww1nXBrAXkoCI8AF6eKTwK5NX0X4*/muungano.jpg?width=650)
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WATIMIZA MIAKA 50
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Hati za Muungano mvurugano
11 years ago
Habarileo15 Apr
Hati ya Muungano hadharani
HATIMAYE baada ya upotoshwaji mkubwa wa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, hasa waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuwa Hati ya Muungano haipo, sasa Serikali imeweka hati hiyo hadharani. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema kuwa Rais Jakaya Kikwete ameridhia hati hiyo ioneshwe na waandishi wa habari walikuwa wa kwanza kuiona hati halisi jana.
10 years ago
Dewji Blog26 Apr
Heri ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, tuuenzi na tuulinde
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama ishara rasmi ya kuunganisha nchi hizo mbili miaka 51 iliyopita. Modewjiblog inaungana na Watanzania duniani kote kusherehekea siku hii adhimu kwa kuwatakia Happy Muungano Day!
Hayati Mwalimu Julius Nyerere (kushoto) na Sheikh Abeid Aman Karume wakibadilishana hati za muungano.